Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

Futbol na Check number, hii chek namba nilikuwa nakimbia sana.
 
Nilikuwa kichaa wa games

Need for speed 2
Mortal kombat 4
Gta
Thief demo
Delta force
Moto racer
Dave, Mario, Angelo

Sina hamu tena na magem sikuhizi,
Hebu nitumie hilo game la need for speed 2
 
nilikua natmba sana watoto wawatu wenzangu wakienda kucheza mpira mimi nabaki nadadazaoπŸ™πŸ™πŸ™
 
Mwanaume ameumbwa kuwa mtawala meaning tangia mdogo anataka kuwa na milki/ngome yake. Anapotokea wa kutokea huwa inampandisha hasira na uchungu. Na ndo maana hata mwanamke akicheat ni ngumu kusamehe kwa sabbu mnaona kama ngome yenu imeingiliwa. Na sifa ya mtawala ni kuwa the overall overseer wa ongoings za ngome yake. Ndo maana hamuoni shida kuhonga majumba na magari...sasa huyu mwanadaslam alikuja kuingilia ngome yako..bibie akakufriend zone...ni hatari πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…