Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
ilikua utani tuu mrembooTayari
Nilikuona umemtukana mtu matusi makubwa
Huo utani mbaya lakiniilikua utani tuu mremboo
dah naacha isije ikanijengea pichambaya kwenye hii jamii nzuriHuo utani mbaya lakini
Mboga 7Nilikuwa kichaa wa games
Need for speed 2
Mortal kombat 4
Gta
Thief demo
Delta force
Moto racer
Dave, Mario, Angelo
Sina hamu tena na magem sikuhizi,
Mauno ya utotoni ni mauno basi mkuu😀😀 siyo kama yale ya ukubwani, mnara mbovu huo😀Nimeimagine mauno.... dakika 0 mnara
basi sahivi ndio utakuwa umeiva... upewe maua yako kwa kweli.Mauno ya utotoni ni mauno basi mkuu😀😀 siyo kama yale ya ukubwani, mnara mbovu huo😀
Niive wapi uno gumu kama lina gundi😀😀basi sahivi ndio utakuwa umeiva... upewe maua yako kwa kweli.