Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Endelea
 
Bullar mzingiaji mkuu. [emoji23][emoji23] mwaga stori hiyo sio kuandika vifungu
 
Bullar mzingiaji mkuu. [emoji23][emoji23] mwaga stori hiyo sio kuandika vifungu
ttzo langu mvivu sana kuandika pia nme tingwa na kazi mbaya zaidi kuhadithia kwa maandishi hua napuyanga sana inanichukua nusu saa kundiks paragraph tatu typing erros kibao na tense za ajabu ajabu
 
Uongo wa kiwango cha lami yaani umkopeshe mwalimu wa kibongo halafu umdai akulipe
 
nakumbuka 2010 ndio nme toka tu chuo nikalamba ajira nikapiga deal la 20M nikiwa na umri mdogo early 20's kilichofuatia ni history
haa ha nini kilitokea mkuu??
 
2013 nkiwa na 22yrs nlipiga kama dola 600 hivi 1M+ Kupitia Google adsense (blogging) Mpka sasa nmeamaliza na degree yangu ya civil engineering cjawahi gusa cheti toka nmechukuaa chuo mpo na computer yangu siku hizi sikosi dola 5,000+/month...(karibuni online)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…