🤣🤣nikupigepo pingu🙌🏿Mke fulani hivi aliefungashia besela maalum la kibantu furaha kumuangalia akienda na akiwa anarudi, and I wish Papa God Oh atanishushia mazee akishushwa napiga Pingu ya maisha ulipo mwanakwetu Mama chanja simamapo unisikiepo sala hizi za Toba njoepo nikupigepo Pingu za Maisha
Ninae nilimpataHzo sifa zote nnazo, sna hata rafiki mmoja wa kufatana fatana naye,,, tatzo langu n moja tu, bado sjapanga kuoa in the nearest future🙂🙂 ikitokea nime change my mind ntakucheki bibie!!
Shangaaa😂😂😂Anajikuta nani sijui,eti nikichange nitakutafuta🙄 hivi marriage ndo muhimu kiasi hiki
Kabisa mkuuKwakweli haya Mambo haya ni vichekesho tuu ni ngumu kupata uanacho kitaka!
Kiufupi unaweza agiza shati ukaletewa shati tofauti kabisa lakini unachofanya ni kulipokea na kuangalia utariboresha vipi halafu kisha unalitinga na kuingia nalo mtaani!
Nautunza huu ujumbe mkuu!Mapenzi ni hisia, na sio uamuzi. Ukishaanza kujiwekea ndoto ya kuwa na mtu wa aina fulani, maana yake hapo umeondoa dhana nzima ya mapenzi kuwa ni hisia na umeyafanya kuwa uamuzi.
Let love lead, whoever comes as long as hisia zako zimevutiwq nae, mkubali.
NB: "Nyege na hisia ni vitu viwili tofauti"
Wengi wamelike na kucheka ...hii Comment... Wengi wenu mnaonifahamu ..Mimi ni mkristo Mkatoliki...at the purest... Na hata kwenye zile comments za kidini ni Ile changamsha genge... Mnaonifahamu mnaonifahamu ...usiyenifahamu jipe muda... AniNi"search tu".... Sisi tumezaliwa tisa...kafariki mmoja ..Tumebaki nane ... Wakristo 5 waislamu 3.. Mke wangu Muislam... Nilipost humu "Nimemuachia Nyumba Mke wangu"... Alirudi yeye na utajiri wao... Na ni waislamu wa Tanga... Kuna mambo Vijana wanatakiwa kuelewa "NDOA NA MAPENZI NI ZAIDI YA KUTOOMBANA.."...Kikubwa awe na uchi tofauti na wangu... Mengine tutayajenga....
Sasa tulie nini tena jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunasonga mbele kama injili
Ndiyo 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]kama ambulance yani,inalia ikisonga
What is blood pressure? Blood pressure is the force of your blood pushing against theMke fulani hivi aliefungashia besela maalum la kibantu furaha kumuangalia akienda na akiwa anarudi, and I wish Papa God Oh atanishushia mazee akishushwa napiga Pingu ya maisha ulipo mwanakwetu Mama chanja simamapo unisikiepo sala hizi za Toba njoepo nikupigepo Pingu za Maisha
Vizuri 👊👊
To be honest sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa na mke wa aina fulani, kwakweli nasubiria tu yeyote atakaejitokeza nikamkubali naoa, isipokuwa navutiwa na mwanamke mrefu, maji ya kunde, asiejiskia, muelewa na awe na mvuto ki pisi kali pisi kali, ukitaka kujua zaidi kwa nini maji ya kunde njoo inbox mengine ni siri ya ndani hatumwagi mchele kwenye kuku wengi, kwa ufupi tangu nakuwa bachela demu aliyekuwa navutiwa nae ni Tony braxton, ile ndio pisi kali yangu ya ndotoni, nikilala namuota, nikinywa maji namuona ndani ya glass.Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?
Nashauri hivi,tembelea ndoto yako,usiforce mambo kwa sababu fulani.
Maisha ni wewe,ukiumia ni wewe,ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu,siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki.
Je,hapo ulipo unaamani? Au uliingia tu uonekane umeolewa,umeoa? Ulifuata pesa? Ulifuata kazi yake ili Msaidiane kiuchumi? Pesa zipo ila huna furaha ya mapenz? Fanya maamuzi sasa au subiri kifo furaha ukapatie mbinguni.
Mwenyezi Mungu akaponye kila roho siku ya Leo.
NB:Kumbuka mchozi ni dawa pia,lia pale inapobidi kupunguza mzigo wa maumivu moyoni.
NAWAPENDA SANA NDUGU MEMBERS![emoji7][emoji8]
Si utanifundisha bibieAjue minyanduano tu.
Uje ukiwa full package.Si utanifundisha bibie
Unanizungumzia mimi sio?Mwanzo utamuona utasema huyu ndiye..!!!
Ingia naye kwenye husiano ndo utajua kumbe nilipuyanga kubeba hii ng’ombe..!!
Mi napenda mwanaume aliyenizidi kila kitu mpk dhambi, ila niliyenaye funga kazi..!!
Imagine mwanaume kanizidi mpk kudeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Tayari umempata?Nilitaka
Mwenza ambae hana marafiki wa kufatana fatana kila sehemu ,mashem shem siwataki kabisa
Hana mambo mengi kichwa kimetulia
Mwenye upendo na heshima
Mwenye kunipa attention yote
Mwenye kujali kwenye shida na raha
Wewe umeandikiwa mimi ndio chaguo la mungu wako usilaze mchezo achia boli tulisakate rhumbaNdoto yangu imezima kama mshumaa
Nilikuwa na ndoto ya mwanaume kama yule ila ndio hivyo Mungu hajapenda[emoji174][emoji174]