Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

Bila shaka hata hii comment umeiandikia ndotoni.

πŸ˜€
 
Nilikuwa natamani kuwa gynaecologist .
 
Nilitamani kuwa injinia tangu darasa la pili na nimekuwa injinia then nimepiga step nyengine zaidi ya injinia Alhamudullilah MUNGU mkubwa.
 
Nilitamani kua Daktari Bingwa wa Fahamu na Ubongo
Mbususu zikaniponza
Japo sjaenda mbali sana saivi ni DAKTARI WA KUCHA
KINADADA KARIBUNI KWA PEDICURE NAILS TREATMENT MWENGE DARAJAN SPIDERNYOKA NAILS POINT πŸ’…
 
Nilitamani kuwa Lawyer, Sababu Babu alikua ananipa vitabu vyake na kesi nyingi nyingi nilizipenda sana kusoma, akawa ananiambia nimsindikize hadi mahakamani 🀣 🀣 Mwisho wa siku nimeangukia kwenye makalai🀣🀣
Makalai means mgodini?? πŸ€“πŸ€£
 
Mimi bado umeniacha Mkuu hapo kwenye boksi, naona ni zaidi ya maboksi haya ninayojua mimi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwangu, kubeba boksi ni tamathali ya usemi inayowakilisha kazi yoyote ile aifanyayo mtu/ Mtanzania aliye ughaibuni.

kwangu, kubeba boksi hakumaanishi literally kubeba boksi kwenye ghala au bohari.

Mfano, mimi hapo kwenye picha nipo kwenye boksi [nabeba boksi] lakini hakuna maboksi πŸ˜‰.

 
T-shirt, Kofia na Earphone
bei gani ndugu Ngabu?

Tupe drip check za bei bila kusahau
Computer hiyo
 
Moja ya ndoto yangu kubwa maishani mwangu ilikuwa ni kuwa
Hana uwezo huo wa kuandika story of change. Yeye ajuacho ni ubuyu tu. IQ yake ni sawa na ya MC Pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…