The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Bila shaka hata hii comment umeiandikia ndotoni.Hakuna kitu kilikua kinanukwaza kama nikiota nakojoa, then nikiamka asubuhi nakuta nimelimwaga kweli....🤣
Sasa mawazo yalikua yananipata nikitoka nje nitaimbiwa ile kikojoozi...eehhh....
Ama hapa mnaseme ndoto zipi kwani mkuu...🤔🙄
😀