Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

Hakuna kitu kilikua kinanukwaza kama nikiota nakojoa, then nikiamka asubuhi nakuta nimelimwaga kweli....🤣
Sasa mawazo yalikua yananipata nikitoka nje nitaimbiwa ile kikojoozi...eehhh....
Ama hapa mnaseme ndoto zipi kwani mkuu...🤔🙄
Bila shaka hata hii comment umeiandikia ndotoni.

😀
 
Alhamisi inaendaje wakuu?

Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao.

Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada ya hesabu na masomo mengine ya sayansi kunipiga roba ya mbao ya hatari nikaachana na ndoto hiyo, sasa nafanya kitu tofauti kabisa na ndoto niliyokuwa nayo.

Wewe ulikuwa na ndoto ya kuwa nani ukiwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au mambo yalikuwa meusi ukafanya mambo mengine?
Nilikuwa natamani kuwa gynaecologist .
 
Nilitamani kuwa injinia tangu darasa la pili na nimekuwa injinia then nimepiga step nyengine zaidi ya injinia Alhamudullilah MUNGU mkubwa.
 
Nilitamani kua Daktari Bingwa wa Fahamu na Ubongo
Mbususu zikaniponza
Japo sjaenda mbali sana saivi ni DAKTARI WA KUCHA
KINADADA KARIBUNI KWA PEDICURE NAILS TREATMENT MWENGE DARAJAN SPIDERNYOKA NAILS POINT 💅
 
Nilitamani kuwa Lawyer, Sababu Babu alikua ananipa vitabu vyake na kesi nyingi nyingi nilizipenda sana kusoma, akawa ananiambia nimsindikize hadi mahakamani 🤣 🤣 Mwisho wa siku nimeangukia kwenye makalai🤣🤣
Makalai means mgodini?? 🤓🤣
 
Mimi bado umeniacha Mkuu hapo kwenye boksi, naona ni zaidi ya maboksi haya ninayojua mimi 😂 😂 😂
Kwangu, kubeba boksi ni tamathali ya usemi inayowakilisha kazi yoyote ile aifanyayo mtu/ Mtanzania aliye ughaibuni.

kwangu, kubeba boksi hakumaanishi literally kubeba boksi kwenye ghala au bohari.

Mfano, mimi hapo kwenye picha nipo kwenye boksi [nabeba boksi] lakini hakuna maboksi 😉.

IMG_6114.jpeg
 
Kwangu, kubeba boksi ni tamathali ya usemi inayowakilisha kazi yoyote ile aifanyayo mtu/ Mtanzania aliye ughaibuni.

kwangu, kubeba boksi hakumaanishi literally kubeba boksi kwenye ghala au bohari.

Mfano, mimi hapo kwenye picha nipo kwenye boksi [nabeba boksi] lakini hakuna maboksi [emoji6].

View attachment 2927450
T-shirt, Kofia na Earphone
bei gani ndugu Ngabu?

Tupe drip check za bei bila kusahau
Computer hiyo
 
Moja ya ndoto yangu kubwa maishani mwangu ilikuwa ni kuwa
Anajinoa hapa ila hajawa serious tu, kuna shindano la Stories of Change anaweza kushiriki pia akatoa mawe hawezi jua nani anasoma akatoboa au akaibuka moja ya mshindi ndio akachomokea hapo, kuna wakati pia Mkuu Maxence Melo aliwahi kusema kwenye interview kama mara mbili hivi kama sijakosea (kwa nyakati tofauti) kuwa JF inawalipa watu wanaoandika maudhui/content zenye tija humu, achangamkie fursa... anaweza kutoboa kupitia humu humu JF
Hana uwezo huo wa kuandika story of change. Yeye ajuacho ni ubuyu tu. IQ yake ni sawa na ya MC Pilipili
 
Back
Top Bottom