Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Nikiwa na umri wa miaka 39 nilibeti ikatoka million 20 timu moja ikaua... Kwahyo bado sijapata bado dah
• Dah, pole sana mkuu, wapo hapa wana JF, watatupa mbinu namna ya kuipata milioni tofauti na kubet.
 
• Ulijitahidi sana mkuu, maana naskia walio ingia forex, kwa sasa ni mafukara wakutupwa,

• Mkuu unatushauri nini sisi ambao hatujafikisha milioni ? Wapi tujirekebishe?
Kama unaona biashara fulani inafaa basi fanya kwa muendelezo usikate tamaa wengi wanapiga ,wengine wanapoteza kabisa.... Nilipomaliza chuo niliwapa wazazi zikaisha zote ila nikapata kazi mpaka leo ni story
 
• Zuri hii sana hii mkuu, Je bado unaendelea na ufugaji wa kuku? Na walikuwa wa kienyeji au kisasa.

• Ipi changamoto uliipata wakati wa ufugaji wa kuku?
Bado naendelea nao,, asaivi wako wengi sana.. changamoto zipo,kama ukiwachelewesha chanjo, kuna ugonjwa ule wa mlipuko wanaweza wafe wote kwa pamoja😃😃😂..Ukiwazingatia chakula na dawa kwa wakati, mazingira yao hakikisha kunakua na joto mda wote basi
 
Kama unaona biashara fulani inafaa basi fanya kwa muendelezo usikate tamaa wengi wanapiga ,wengine wanapoteza kabisa.... Nilipomaliza chuo niliwapa wazazi zikaisha zote ila nikapata kazi mpaka leo ni story
Aisee, OK Sawa mkuu, kwa mchango wako murua kabisa. Thanks.
 
• Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji mliofanya mpaka mkapata hiyo million.

• Ndiyo! uchumi si wa kutabasamu kwa sasa, Lakini hii inaweza tumika kama motisha kwa ndugu, jamaa na marafiki, ambao bado wapo kwenye ajira ndogo ndogo na Wanataka kujiajiri au wapo kwenye hatua ya kudunduliza mitaji.

• Tuambie ni lini ulitengeneza milioni yako ya kwanza na kwa njia gani?

View attachment 2859386
🤣🤣🤣😂
 
nikiwa na umri wa miaka 19,nilikuwa mkulima wa ufuta huko kijijini baada ya mavuno niliuza na kupata 1.2 milioni kwa mara ya kwanza.
 
Nilikuwa nafanya forex miaka ile na broker templer halafu nilitemana nayo kabisa ,pia nilikuwa nafundisha watu nikila kipigo sokoni nahost event naleta kelele nyingi nakula sitting allowance ...Baadae niliona biashara ya kiduanzi unajiexpose sana kama umefanikiwa nikatemana nayo.

Nina rafiki yangu mpaka leo afanya hana lolote kazi kukodi magari anakaa sinza huko ,ila alishapiga mpaka million 100 ...Ujinga bata kwa sana na wanawake kutwa yupo Zanzibar ...Ana nyumba lakini huko Mbweni.
Kumbe zile zinakuwaga mbwembwe kama motivation speakers 🤣🤣🤣
 
Bado naendelea nao,, asaivi wako wengi sana.. changamoto zipo,kama ukiwachelewesha chanjo, kuna ugonjwa ule wa mlipuko wanaweza wafe wote kwa pamoja😃😃😂..Ukiwazingatia chakula na dawa kwa wakati, mazingira yao hakikisha kunakua na joto mda wote basi
Asante sana mkuu kwa mchango wako, nina imani kabisa mwenye Nia ya kuvuna milioni ya kwanza mwaka huu, anaweza kuipata kwa njia ya ufagaji kuku 🙏🙏,
 
Back
Top Bottom