Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Asante sana mkuu kwa mchango wako, nina imani kabisa mwenye Nia ya kuvuna milioni ya kwanza mwaka huu, anaweza kuipata kwa njia ya ufagaji kuku ๐Ÿ™๐Ÿ™,
Sawasawa ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
 
โ€ข Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji mliofanya mpaka mkapata hiyo million.

โ€ข Ndiyo! uchumi si wa kutabasamu kwa sasa, Lakini hii inaweza tumika kama motisha kwa ndugu, jamaa na marafiki, ambao bado wapo kwenye ajira ndogo ndogo na Wanataka kujiajiri au wapo kwenye hatua ya kudunduliza mitaji.

โ€ข Tuambie ni lini ulitengeneza milioni yako ya kwanza na kwa njia gani?

View attachment 2859386
Siku moja nikitengeneza hiyo milioni nitafurahi sana
 
Aged 17 kipindi cha Mkapa awamu ya pili.

Wakati huo shilling ina thamani kweli kweli Tsh 1,000/= kwa siku haiishi hata utumie kwa anasa vipi.
 
Mkifika kwenye 10K mnishtue..
tajiri Depal njoo tuambie story yako mwaya mdogo wangu..!!
Chochote kinachohusu 1M kinanirudisha kwenye ile M1, kapresha kanapanda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hasira zinajidownload..

Mie mkishuka mpaka elf 5 mniite nirudi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hongera sana mkuu, hiyo million yako ya kwanza, umeiweka Bank,?, kwenye kibubu au ipo kwenye mzunguko,. Tuambie ratiba yako niipi kwenye hiyo million.
Ipo benki nasubiri ifike 2m ili nifanye jambo langu
 
2018! Mzee alinisapoti nkalima ekari mbili baada ya mauzo nkapata..... akanifungulia account akaweka humo nlipewa access nlivokua chuo
 
21yrs.... Me katika harakati zangu zote sijawahi kuwa boosted na mtu yoyote hata shilingi moja.... Nimenza harakati nikiwa 18yrs na 0Tsh balance, Now tumepanda viwango kidogo nasubiri kwenye uzi wa first time to own 5m
 
Back
Top Bottom