Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Nikiwa na umri wa miaka 39 nilibeti ikatoka million 20 timu moja ikaua... Kwahyo bado sijapata bado dah
β€’ Dah, pole sana mkuu, wapo hapa wana JF, watatupa mbinu namna ya kuipata milioni tofauti na kubet.
 
β€’ Ulijitahidi sana mkuu, maana naskia walio ingia forex, kwa sasa ni mafukara wakutupwa,

β€’ Mkuu unatushauri nini sisi ambao hatujafikisha milioni ? Wapi tujirekebishe?
Kama unaona biashara fulani inafaa basi fanya kwa muendelezo usikate tamaa wengi wanapiga ,wengine wanapoteza kabisa.... Nilipomaliza chuo niliwapa wazazi zikaisha zote ila nikapata kazi mpaka leo ni story
 
β€’ Zuri hii sana hii mkuu, Je bado unaendelea na ufugaji wa kuku? Na walikuwa wa kienyeji au kisasa.

β€’ Ipi changamoto uliipata wakati wa ufugaji wa kuku?
Bado naendelea nao,, asaivi wako wengi sana.. changamoto zipo,kama ukiwachelewesha chanjo, kuna ugonjwa ule wa mlipuko wanaweza wafe wote kwa pamojaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚..Ukiwazingatia chakula na dawa kwa wakati, mazingira yao hakikisha kunakua na joto mda wote basi
 
Kama unaona biashara fulani inafaa basi fanya kwa muendelezo usikate tamaa wengi wanapiga ,wengine wanapoteza kabisa.... Nilipomaliza chuo niliwapa wazazi zikaisha zote ila nikapata kazi mpaka leo ni story
Aisee, OK Sawa mkuu, kwa mchango wako murua kabisa. Thanks.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
nikiwa na umri wa miaka 19,nilikuwa mkulima wa ufuta huko kijijini baada ya mavuno niliuza na kupata 1.2 milioni kwa mara ya kwanza.
 
Kumbe zile zinakuwaga mbwembwe kama motivation speakers 🀣🀣🀣
 
Asante sana mkuu kwa mchango wako, nina imani kabisa mwenye Nia ya kuvuna milioni ya kwanza mwaka huu, anaweza kuipata kwa njia ya ufagaji kuku πŸ™πŸ™,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…