Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Mkuu, wewe zile apartment unemjengea nani?Kuleni bia kufanikiwa ni kitu gani wewe?
40 is the new 20.Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Floor ya 4 sio tena kijana.Mara nyingi sana vijana huanza fanikiwa wakiwa gorofa ya 3 na wengi ni wakiwa gorofa ya 4 (40 - 49 years of age)
Hapa mara nyingi tunakuwa tumeshapunguza mambo mengi kama mitungi na wanawake akili ya utu uzima inakuwa imekomaa baada ya mishale mingi lakini pia experience kulingana na mistakes kibao.Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Moto wa ujana unampelekea kuona wengine wanakosea subiri aone mzee mwenzanguHuyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! 📣📣📣
Labda umezaliwa kwenye familia ya kitajiri, yenye connections kwenye mifumo ya kiutawala au ya kifisadi. Kwa hivyo unaona kila kitu ni rahisi tu kwako na hauna hata fununu jinsi harakati za mtu wa kawaida zilivyo!
Late 20s nilikuwa nazo. Migodi imekubali. Billions!
Late 30s kila kitu kikakwama yaani kila kitu...nikaponea kwenye vi real estates huko.
Mid 40s ndiyo nimeanza kuuona mwanga tena. Maisha ni mapambano mpaka siku ya mwisho na ukianguka nyanyuka tena kama bado unapumua!
Napenda mchezo wa kutafuta pesa , upo kwenye damuMkuu, wewe zile apartment unemjengea nani?
Ila kusema kweli pesa ya kupatia uzeeni hata hainogiKwani kuwa na pesa inatakiwa uwe na miaka mingapi?
Mbona Lil Bow wow alianza kushika pesa akiwa na miaka 13 ,je ndiyo tuseme kwamba kuanzia miaka 13 uanze kupata pesa? Mmiliki wa KFC alitoboa akiwa na zaidi ya miaka 70 ,sasa Benchmark ya kupata pesa ni Umri gani hasa?
Hata katika huo umri wako wa miaka 26 Dayamondi alikuwa tayari kashatoboa kwenye huo umri...sasa umri sahihi wa kuwa napesa ni upi?
Fainali huwa UZEENI ujue.Ila kusema kweli pesa ya kupatia uzeeni hata hainogi
MhmmmIla kusema kweli pesa ya kupatia uzeeni hata hainogi
Ni kweli 😁Fainali huwa UZEENI ujue.
Uzeeni ukiwa umechoka kipesa ni hatari maana unachoka mara mbili.
NiniMhmmm
Kwanini myNini
Wewe si ndio umegunaKwanini my
My wangu acha hizoWewe si ndio umeguna