Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Mwisho wa kisa hiki nitawapatia njia ya kushirikiana na hawa viumbe katika njia mbalimbali
Shukran mkuu..au mwenye Nia aje tu private..mana wengine watakua wanakuinjoi tu. Pia utatusaidia mana wengine wenye elimu hii wanaringa na dharau sana very selfish na kuchaji pesa nyingi..ila kua makin wanaweza kukufata wakakuambia usitusaidie
 
Tuko pamoja, iwapo mtu atakuwa na swali la kibinafsi anaweza kuniuliza tuu bila tatizo
 
Kisimani ulitikaje? Maji yalikuwa kiasi Gani,,, hukuzama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…