bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Longtripu transit scania ni the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisadi,malikale,nkTukiachana na habari za Howo.. naomba kuuliza wafuatao hela wanapata wapi?; Asas, Gsm, oveland na usangu. Hawa viumbe njia zote wamechafua na malori yao.
Kwenye logistics industry hatufungi ndoa na gari thus chines is the best likirudisha faida tu unamuuzia mtu akafe naloWengi wa waliocomment wamefanya hivo kwa hisia/kuambiwa.
Sasa Ngoja nikupe experience yangu:
Nina logistics company na I started with a fleet of Mercedes Benz (all trucks zilikuwa Benz) mwanzo mambo yalikuwa poa sana ila sasa zilivoanza kusumbua!!! Eeenheee hamna rangi niliacha ona, ikitaga mahali….say kitonga jua hapo ni siku tatu au nne minimum utakaa.
Kwanza utoe fundi mwenye computer Dar (akucharge 300,000 au 350,000) just kwenda tu, afike pale aweke computer (100,000 to 150,000 charge yake) akuambie tatizo now utume sasa spare au hiyo sensor from Dar. All that time gari inasubiri na gharama za ulinzi chakula nk zinaendelea kuhesabu!
Spare parts pia ni gharama sana plus hazipatikani kwa urahisi. Nenda pia kwenye normal service, Benz inakula oil 35-40 liters, filters za Benz ni 50,000 kwa moja, brake pad pale Cfao ni around 600k for atego na 250-300k for Actros au Axor!
Sasa tizama Howo:
Gari halina umeme, umeme wake kama wa pikipiki na linatengezeka popote Hata ukiwa huko makete!
Pili service ni very cheap, filter ni 8,000 tu na oil ya engine ni just 22 liters tu! (20 liters ya oil ni 200,000 mpaka 250,000)
Brake pad nying ni drum na waweza bandika ukiwa popote Tanzania na ni very cheap.
Conclusion:
Kama huna pesa nyingi sana na unataka growth na Upo dynamic kwenye kuchange trucks then mchina is a way to go.
Kama una mtaji mkubwa na wataka longevity kwenye fleet yako then think of European trucks.
Ni kweli mkuu sikatai,...Kwa biasharaa ya mabus ya abiria bado Mchina ni the best anarejesha pesa haraka sana kuliko scania.
Ni kweli mkuu sikatai,...
Ila wachina watupunguzie utani kwenye hii biashara ya mabus, Kweli kabisa mtu uko serious na fedha zako....
ununue basi inaitwa Zuchu!!!.... seriously!
Unaangalia faida ya fasta,Marcopolo moja unapata Mchina 2 plus 1 ya mkopo utalipa kwa dhamana ya hizo 2.Kweli!!? Meen!
Mkuu umeenda shule , achana na hawa watu wa Scania wanangangania ma 113 or zinadumu , hawajielewi kabisaUnaangalia faida ya fasta,Marcopolo moja unapata Mchina 2 plus 1 ya mkopo utalipa kwa dhamana ya hizo 2.
Wote level siti scania abiria 60 kwa milion 500, mchina bus tatu abiria 180 kwa hio 500 nauli Mwanza au Mbeya elf 50.
So scania utapata milion 3, mchina utapata milion 9 kwa mtaji wa milion 500.
Mchina atarejesha pesa haraka sana kuliko scania.
Ishu za kukaa na magari miaka hadi mjukuu anarithi ni ya kizamani hata Ulaya hawafanyi.
Gari ikirejesha faida uza ingiza ingine
Ukitaka comfortability chukua mchina ukitaka durability chukua scania.
Kwa transit chukua scania kwa local na tipper chukua mchina,kwa porini anapopita Howo scania apiti.
Kazi zote za site na contract ishu za tipper Mchina the best
Hello bosses and roses...Acha kufananisha Scania na takataka za kichina.mchina akipiga kazi ngumu miaka miwili tu imeoza wakati Scania aliyonunua babu mpaka mjukuu analikuta na anakuja kuliacha.
Kudumu Kunasaidia Nini imekuwa hirizi hioMkuu umeenda shule , achana na hawa watu wa Scania wanangangania ma 113 or zinadumu , hawajielewi kabisa
Bado haijatokea gari ya kishindana na scania ,mfano mdogo tu angalia abood ana scania marcopolo namba A zipo hadi leo zinadunda na mpya bado, angalia mchina namba hata niambie hali yake, scania huwezi kulinganisha gari ya mzungu na ya mchina hata siku moja
Shabby , Ester , New Force, Mtei coach Tahmeed bus , zote walitupa Scania wakanunua mchinaaaAcha uongo hizo gari kauza muda mrefu sasa hivi ni youtong tuu
Waafrica kazi kusifia vya wenzenu tu, ni lini nanyi mtaunda vyenu ili Wazungu na Wachina nao wakeshe mitandaoni kuvisifia??!!
Hamna kitu kama hicho mkuuView attachment 2640563aliko howo SASA hv ndipo alipokuwepo Scania Miaka ya 70
Kipindi hicho 113E au 113H 360hp zilifanya mambo makubwa sana!Kazi kazi....View attachment 2645066
Tuliunda tela la 5t enzi kitila mkumbo akiwa waziri wa viwanda....umesahau mkuuWaafrica kazi kusifia vya wenzenu tu, ni lini nanyi mtaunda vyenu ili Wazungu na Wachina nao wakeshe mitandaoni kuvisifia??!![emoji57]