Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

Magufuli alikua na ulinzi wa kulinda mpaka isiraili mtoa roho asipute lakini wapi?? Wasukuma hamna Akili.. Rais akiwa nje swala la Ulinzi Ni jukumu la wenyeji wake kwa 80%

Siku nyingine usikete Uzi wa kipumbavu boya wewe
 
Taratibu za kiusalama, Rais au kiongozi anapokuwa nje ya nchi jukumu.la kimsingi la kumlinda na kuhakikisha usalama wake lipo mikononi mwa nchi husika, japo naye anakuwa na security detail yake.ni kama marais wakija hapa Tanzania sisi ndio tunawajibika na usalama wao kwa namna na hali yoyote mpaka wanapoondoka na kutoka kwenye mipaka yetu
 
Intimidating tactics. Ionekane kumdhuru rais sio rahisi.
Hii ni propaganda zaidi kuliko ulinzi wenyewe.
 
Wenzetu tunaishi sayari moja lakini akili zao ni za sayari nyingine, kazi zote za ulinzi na usalama wa mitaa yao yote,pamoja na mipaka ya nchi zao vyote vinarimotiwa kutoka ofisini,siyo lazima uwaone askari wanazunguka mitaani na bunduki.

Mtu yuko ofisini lakini usalama wa viongozi na nchi yote uko viganjani mwake,na ikitokea fyoko mitaani mtu ana dakwa mithiri ya kifaranga cha kuku kinavyodakwa na mwewe,utafikri walinzi walikuwa naye hapohapo kumbe watu walikuwa ofisini wanafanya vitu vyao.
 
Changamoto ni kwamba hajachaguliwa na wananchi kwa hiyo hata wananchi hawaamini, angalia ulinzi wa Uhuru Kenyatta na Rais wa Zambia ni wa kawaida sn sababu wamechaguliwa na wananchi.
 
Unajua kuna maswali rahisi yanayoweza kumfelisha mtu mtihani au interview

NN kauliza ulinzi wa ndani vs ulinzi akiwa nje.
 
Ulinzi ni haki ya Rais.

Hakuna taasisi isiyo na ulinzi. Nenda taasisi ya afya, elimu, kampuni na makanisa kote kuna ulinzi.

Sasa kabla ya kuhoji ulinzi kwa rais, hoji kwanza ulinzi wa taasisi nyingine
 
Huyu bwashee Nyani Ngabu amekuwa anahoji sana ulinzi wa Rais wa JMT.

Ana lengo gani?

Ikumbukwe kuwa Ngabu ni mfuasi wa Chadema ila kuna wakati alikorofishana na viongozi wake baada ya Mwamba Mbowe kuahirisha Operesheni UKUTA.

Ngabu alikuwa anashabikia watu waingie barabarani ilhali yeye mwenyewe anaishi Marekani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…