Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

Mkuu hapo watu wanataka perdiem tu. Hakuna cha ziada.
 
Nchi ina magaidi hii mkuu! Kama DC tu anapangiwa njama itakua Raisi? Acha tumlinde ni jukumu letu
 
Unakumbuka walivyokuja marais Bush na Obama?

Ni security agents wa nchi gani ndiyo walio take over suala la ulinzi….?
 
Mkuu Hao Wajeda sio wale waliokuwa wakati wa Mzee. Hata wale ambao waliokuwa wasaidizi wa Mzee Jpm Wote hawapo.
.
Wasaidizi wengi unaowaona wametoka Pemba+Unguja+ambao alikuwa nao wakati ni makamu wa rais.
.
Mfano yule ambaye TAL alisema alifia Kenya, Some1 Seba Kwa Sasa Ni RSO Mkoa Mmoja Kusini Huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha kikwete hukuona haya Sio?kwani wakati huu wa jpm na mama?ujue kuna kipindi kigumu cha kijasusi tunakipitia kama taifa
 
Kwa sababu huku Tzn mumejaa wafitini Sana lazima tumlinde.
 
Ujinga wako unadhani ulinzi mzuri ni ule wa walinzi kuzunguka na ma-bunduki kama vichaa! Hujaelewa anachohoji!
 
Labda!
 

Analindwa hivi Bi Mikopo wakati anazidi deile kuwamaskinisha Watanzania
 
ndipo na wao wanapopatia mishahara kwa maana nyingine hii ndio ajira yao wasipo fanya hivyo wataonekana hawafanyi kazi ,lazima kuwe na mbwembwe kama za naval seal wakiwa afughanistan
 
Ni kosa ambalo wana usalama wa wamarekani wanajutia hadi leo kwa kiongozi wao kuuliwa kizembe tena mchana jua linawaka pale Dallas Texas.
Kwa hiyo linapokuja swala la ulinzi bwa rais ,ni kitu ambacho ni kipaumbele namba moja kwa maafisa wa usalama wa nchi yoyote duniani hata kama rais hataki .. that's it.
 
Ulaya ni Ulaya bwana. Kule hakuna nyani.
 
Watanzania wana akili ndogo sana.Yaani unahitaji kuwa na PhD ili kujua kuwa Rais ambae alitokana na kupora chaguzi na ambae hana kibali cha wananchi ni lazima atumie nguvu nyingi sana kulinda urais wake?!
 
We kwa akili yako unadhani Rais aliyeko madarakani anauliwa kwa sababu ya ulinzi Dhaifu?
 
Watanzania wana akili ndogo sana.Yaani unahitaji kuwa na PhD kujua kuwa Rais ambae alitokana na kupora chaguzi na ambae hana kibali cha wananchi ni lazima atumie nguvu nyingi sana kulinda urais wake?!
Wewe ndio umetoa jubu sahihi 100%
 
Akiwa nje jukumu la ulinzi ni la wenyeji.... wanaruhusiwa wachache na bila mbwembwe za kuzunguka na loaded guns mtaani kama Rambo na Terminator.
Kwamba jukumu la ulinzi ni la wenyeji? Sawa nakubaliana nawe lakini mimi navyoona kwa jukumu la ulinzi wa rais wa Marekani ndani nje ya nchi naona ni jukumu lao wenyewe.. maana naona huwa mpaka magari ya msafara wake nje ya nchi hubebwa na ndege za mizigo kama globeMaster hercules n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…