Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

huwezi kujilinganisha na matajiri mkuu , hukuona kipindi cha Bush na Obama Bongo iligeuka US
 
huwezi kujilinganisha na matajiri mkuu , hukuona kipindi cha Bush na Obama Bongo iligeuka US
Kweli mkuu marais wote watalindwa na wenyeji ikitokea wameenda huko lakini sio kwa rais haswa wa Marekani.... Ogopa mtu anaenda na wapishi wake nje ya nchi hadi na misosi ya kula huko atakapokuwa.. noum sana
 
Kweli mkuu marais wote watalindwa na wenyeji ikitokea wameenda huko lakini sio kwa rais haswa wa Marekani.... Ogopa mtu anaenda na wapishi wake nje ya nchi hadi na misosi ya kula huko atakapokuwa.. noum sana
very true maana kwanza wazungu wanatudharau wanatuona hatuna akili , jitu jeusi likishika mashine wanakua hawana amani kabisa maana wanajua sisi ni washamba na vilaza unaweza hata kuanza kufyatua marisasi ovyo kwa ushamba wako kisa umeona midoli ya supermarket inafanana na watu ukajua wanataka kumdhuru mtu wako.
 
Ulinzi ni haki ya Rais.

Hakuna taasisi isiyo na ulinzi. Nenda taasisi ya afya, elimu, kampuni na makanisa kote kuna ulinzi.

Sasa kabla ya kuhoji ulinzi kwa rais, hoji kwanza ulinzi wa taasisi nyingine
Big up! Tena kikatiba ni lazima alindwe hadi familia yake ili ajisikie yuko salama bila hofu ya binadamu, magonjwa, takataka, sumu, kelele, joto, baridi, uchawi nk. Yaani Rais ni TAASISI. Tusimwonee wivu.
 
Magufuli alikua na ulinzi wa kulinda mpaka isiraili mtoa roho asipute lakini wapi?? Wasukuma hamna Akili.. Rais akiwa nje swala la Ulinzi Ni jukumu la wenyeji wake kwa 80%

Siku nyingine usikete Uzi wa kipumbavu boya wewe
Hujamuelewa mleta mada, kahoji vizuri kabisa ulinzi wote huo wa nini? Ili hali nchi imetulia baada ya yeye kushika madaraka?

Kwa akili ya kawaida tu inaonesha nchi bado haipo stable kina kitu kinamuogofya chief Hangaya ndio maana muda wote kwenye ziara zake hao watu wenye mabunduki ya kivita wapo muda wote.
 
Nchi ina magaidi hii mkuu! Kama DC tu anapangiwa njama itakua Raisi? Acha tumlinde ni jukumu letu
Umlinde wewe nani? Acha kujipa majukumu ambayo hata hujui protocol zake acha kutafuta sifa za kijinga
 
Umenikumbusha kipindi Obama alivyokuja kutalii Tanzania, vijana wa TISS walikuwa pending maagizo yote yalitolewa na vijana kutoka CIA.

Kwa ufupi walikuwa watumwa ndani ya nchi yao
 
Huko nje si Hakuna waliowaua au kuwadhulumu kwa viroba? Au hujui vile mtu anavyoogopa kivuli chake?
 
Hapo sasa....!!!
 
Kwani rais aliyepita alikuwa analindwaje!

Ova
 
Hapo uwanja wa ndege kulikuwa na umati mkubwa?
ulinzi wa raisi umekuwa nongwa leo?
enzi za dictator uchwara, ilikuwa sawa maana alikuwa kwenye vita ya kiuchumi?
sijui alipigana vita nanani? akaishia kulambishwa vumbi
 
Huyu alikuwa mfuasi wa Magufuli sio Chadema
 
Mfano hasara gani[emoji44]
 
Ndio kawaida ya Diplomacy.... ulinzi unapewa na wenyeji, lakini kunakuwa na makubaliano kuhusu namna gani unafanyika; including kuruhusu magari na walinzi. Na inategemea na sensitivity na ukubwa wa Taifa lenyewe, USA ni special case aisee... lakini Prime Minister wa UK hazunguki na gari lake nchi nyingine.
 
Ulinzi wa raisi ni muhimu sana. Nadhani akiwa nje ya nchi, nchi husika inamuhakikishia usalama wake na ndio maana haendi na hawa jamaa. Hakuna raisi asiyelindwa. Hii ni kwasababu ya ushindani wa kisiasa na pia baadhi ya matendo yake yanaweza yasimpendeze kila mtu na ikamtengenezea maadui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…