Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?

Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?

Hao hawajawahi kuwa na point mbele yangu mkuu kwa sababu nimeshatangulia nalijua pori liko vipi,hata mimi nilikuwa na akili kama zao lakini zenye tafakuri kubwa na nilikuwa najua kwamba uanaume ni ku-face realty.

Mimi kwa kiasi kikubwa maisha yangu nimelelewa na binamu yangu (Mungu Mwenyezi amrehemu) ndoa yake ilivunjika nikiwa naiona mwaka 2001 wakiwa na miaka 12 ndani ya ndoa na nazijua shida alizopitia hadi anakufa but still nimekuja kuoa na nina maisha tulivu standard kwa umri nilio nao.

Nasisitiza shida za ndoa zipo na raha za ndoa zipo mtu asiseme ndoa mbaya kisa amefumaniwa na mkewe nae huyo mkewe akalipiza kisha akajaza vijana sumu kwamba ndoa ni mbaya,hasha.
Mkuu naona una experience kama yangu.Nimelelewa na binamu yangu,maisha yake ya ndoa hayakuwa mazuri hata kidogo hadi ameingia kaburini.
Hii haikunizuia kuingia kwenye ndoa, tangu 2001 nipo ndoani na ndoa yangu kila siku ni mpya.Sijui hawa vijana wa kataa ndoa wanakwama wapi.
 
Wengi ni fuata mkumbo hawajui wanachojaribu kukikataa kina athari gani au kina faida gani kwao!

Yupo mmoja miaka minne nyuma alikuwa na akili kama hizi za vijana wa humu ila mwishoni mwa may juzi tu amenipigia anasema anataka aje kuniona tuzungumze nimepata tetesi anataka aende akapose mkoani,umri ukifika wenyewe akili zitafunguka tuwape muda.
 
Aisee mie nazeka Sasa bila ndoa Wala mtoto 😄😄 mwezi ujao natimiza 31. InshaAllah nimepanga kuoa nikiwa na 33 . Vijana wadogo wanawake katika umri mdogo nakipato kidogo, lakini Mimi ambae nakipato karibu mara 5 yao naogopa mke. By the way sipendi kupata mtoto wa nje ya ndoa.
 
28 yrz wife 25 tupo mwaka wa kumi with 3 kids,tuna jumla ya miaka 18 ya kimahusiano.humo mna miaka ya uvulana na usichana na miaka ya mahusiano serious kisha kumi ya ndoa na familia,namshukuru Mungu kwa hili.

Juzi weekend nilikuwa namtania wife namwambia tumeshatoboa sisi ni wa kufa na kuzikana alifurahi sana maana yeye ndiye aliyetengeneza mazingira ya ndoa sikuwa tayari wakati huo but leo (japo sijawahi kumwambia na sitakaa nimwambie kwa sababu zangu binafsi) namshukuru kama siyo yeye kuna vitu naona kabisa nisingekuwa navyo.

Vijana oeni,maisha ni haya haya kila mtu ameandikiwa kikombe chake cha mwenzako hutakinywa na yeye chako hatakinywa msi-copy matukio ya ndoa mkayafananisha huko ni kudanganyana.

HATUTAKI..

#YNWA
 
Aisee mie nazeka Sasa bila ndoa Wala mtoto [emoji1][emoji1] mwezi ujao natimiza 31. InshaAllah nimepanga kuoa nikiwa na 33 . Vijana wadogo wanawake katika umri mdogo nakipato kidogo, lakini Mimi ambae nakipato karibu mara 5 yao naogopa mke. By the way sipendi kupata mtoto wa nje ya ndoa.
Tunalingana ila unachonizidi ni hizo hela tu

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wengi ni fuata mkumbo hawajui wanachojaribu kukikataa kina athari gani au kina faida gani kwao!

Yupo mmoja miaka minne nyuma alikuwa na akili kama hizi za vijana wa humu ila mwishoni mwa may juzi tu amenipigia anasema anataka aje kuniona tuzungumze nimepata tetesi anataka aende akapose mkoani,umri ukifika wenyewe akili zitafunguka tuwape muda.
Mkuu naona una experience kama yangu.Nimelelewa na binamu yangu,maisha yake ya ndoa hayakuwa mazuri hata kidogo hadi ameingia kaburini.
Hii haikunizuia kuingia kwenye ndoa, tangu 2001 nipo ndoani na ndoa yangu kila siku ni mpya.Sijui hawa vijana wa kataa ndoa wanakwama wapi.

Sio wotee tuimbe, wengine tubaki mashabiki.

#YNWA
 
Katika ulimwengu huu wa watu kupenda vitu kuliko mtu, tafiti zimeonesha ndoa imeingia katika moja ya visababishi vya magonjwa na vifo.
Sina mpango wa kuoa ila nina mpango wa kupata mtoto.
#uhai na ustawi wako ni muhimu kuliko ndoa.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Uongeze single mother kitaa sio?. Vipi umetafakari malezi ya mwanao akiwa analelewa na mzazi mmoja?.
 
Back
Top Bottom