Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?

Mkuu naona una experience kama yangu.Nimelelewa na binamu yangu,maisha yake ya ndoa hayakuwa mazuri hata kidogo hadi ameingia kaburini.
Hii haikunizuia kuingia kwenye ndoa, tangu 2001 nipo ndoani na ndoa yangu kila siku ni mpya.Sijui hawa vijana wa kataa ndoa wanakwama wapi.
 
Wengi ni fuata mkumbo hawajui wanachojaribu kukikataa kina athari gani au kina faida gani kwao!

Yupo mmoja miaka minne nyuma alikuwa na akili kama hizi za vijana wa humu ila mwishoni mwa may juzi tu amenipigia anasema anataka aje kuniona tuzungumze nimepata tetesi anataka aende akapose mkoani,umri ukifika wenyewe akili zitafunguka tuwape muda.
 
Aisee mie nazeka Sasa bila ndoa Wala mtoto 😄😄 mwezi ujao natimiza 31. InshaAllah nimepanga kuoa nikiwa na 33 . Vijana wadogo wanawake katika umri mdogo nakipato kidogo, lakini Mimi ambae nakipato karibu mara 5 yao naogopa mke. By the way sipendi kupata mtoto wa nje ya ndoa.
 

HATUTAKI..

#YNWA
 
Tunalingana ila unachonizidi ni hizo hela tu

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 

Sio wotee tuimbe, wengine tubaki mashabiki.

#YNWA
 
Uongeze single mother kitaa sio?. Vipi umetafakari malezi ya mwanao akiwa analelewa na mzazi mmoja?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…