mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Bibi akipewa Dada wa kazi na matumizi, hiyo inatosha kama aliweza kutulea sisi hata shindwa kwa mjukuu wake... Akikaa bila kero za mjukuu atafariki mapema.yaani Mama yako kakulea wewe na ndugu zako kawafikisha ukubwani mkiwa na afya njema, badala mumpe muda sasa na yeye apumzike uzeeni kwake na ninyi ndiyo mumtunze, ndiyo kwanza mnaenda kumbebesha tena jukumu la kulea wajukuu..!!
afadhali basi iwe imetokea mambo ambayo yapo juu ya uwezo wenu hiyo inaeleweka, lakini unaenda 'kumpokonya' mtoto kwa mama yake unampelekea hekaheka tena bibi wa watu, hivi huwa hamna huruma na wazazi wetu..?
Safi sana
Weww ni kivuruge sana, siwezi kuamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeolewa mwaka 1975,
Nikiwa na Miaka 20
Nilimpata kanisani, sio mchungaji ila tukikutana kanisani, tukapenda, mpaka sasa ndoa ya Miaka 48 na wajukuu 10, mjukuu WA mwisho yupo form 4
Mungu NI mwema
Na wewe umeridhika kabisa kumshauri mtoto wa miaka 27 aoe?Usisikilize hawa team kataa ndoa muombe mungu umpate mwenza uoe raha ya ngoma uingie ucheze wacha kusikiliza maneno ya watu
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mi nilishakataa sitalea mjukuu.Wajukuu watakuja kunisalimia tu.Huwa ninawaambia watoto wangu kama akiamua kuzaa awe na future na huyo atakae zaa nayeyaani Mama yako kakulea wewe na ndugu zako kawafikisha ukubwani mkiwa na afya njema, badala mumpe muda sasa na yeye apumzike uzeeni kwake na ninyi ndiyo mumtunze, ndiyo kwanza mnaenda kumbebesha tena jukumu la kulea wajukuu..!!
afadhali basi iwe imetokea mambo ambayo yapo juu ya uwezo wenu hiyo inaeleweka, lakini unaenda 'kumpokonya' mtoto kwa mama yake unampelekea hekaheka tena bibi wa watu, hivi huwa hamna huruma na wazazi wetu..?
Asilimia 100 ya kataa ndoa niWengi ni fuata mkumbo hawajui wanachojaribu kukikataa kina athari gani au kina faida gani kwao!
Yupo mmoja miaka minne nyuma alikuwa na akili kama hizi za vijana wa humu ila mwishoni mwa may juzi tu amenipigia anasema anataka aje kuniona tuzungumze nimepata tetesi anataka aende akapose mkoani,umri ukifika wenyewe akili zitafunguka tuwape muda.
Yaani watu wanaongea vitu vya maana unaleta utumbo wako hapaNimeolewa mwaka 1975,
Nikiwa na Miaka 20
Nilimpata kanisani, sio mchungaji ila tukikutana kanisani, tukapenda, mpaka sasa ndoa ya Miaka 48 na wajukuu 10, mjukuu WA mwisho yupo form 4
Mungu NI mwema
Usiogope binti yangu,chamsingi tafuta mwanaume muelewa ambaye mnaendana.Mpange pamoja mipango yenu na muitimize pamoja. Na ukiingia ndoani uwe umedhamiria kweli maana utaacha maisha yako binafsi unaenda kuishi maisha ya watu wawili.Hongera sana angalau mnatutia moyo Mimi muhanga wa uoga wa kuolewa hasa nikiona shuhuda mbaya kwa watu wa karibu
Wasicha wa kazi wa siku hizi ni tabu tupu.Bibi akipewa Dada wa kazi na matumizi, hiyo inatosha kama aliweza kutulea sisi hata shindwa kwa mjukuu wake... Akikaa bila kero za mjukuu atafariki mapema.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Mbona kuna watu wanasema hadi wanne?Mm nilioa accidentally nikiwa na miaka 29 wife 27, tulikutana kazini mapenzi ya kazini kiutani utani,tumekutana june ndoa november hata sijui ilikuwaje ila sasa tuna miaka 6, watoto wawili nafurahia maisha,kuna muda najiuliza bila yeye sasa hivi ningekuwa wapi,nilichojifunza ktk ndoa,maishw ni hayahaya,hakuna maisha mapya mtafute mtu mmoja unayeelewana naye mjenge maisha,ni fahari sana kuwa na mwenza wako mnaepanga naye mipango ikaenda,Mke wangu amenisaidia vitu vingi sana kunifanya huyu wa leo,na nimegundua ndoa haikuzuii kutimiza ndoto zako zozote zaidizaidi inakusaidia kufika kwa haraka!!
Kwanini iwe asilimia 100% wee jamaa mkorofi ๐๐๐๐Asilimia 100 ya kataa ndoa ni
Mashoga
Wenye dalili za ushoga
Mahanithi
Tasa/Wagumba
unaogopa kuchapiwa๐ na ni shughuli sio poaNi jambo zuri kuoa.
Mimi kaka yako nina miaka 30 hata dalili ya kuoa sina.nina mahawara tu kila siku vilio vya kutaka niwaoe haviishi ila kila nikiwaza kifungo cha ndoa naishiwa nguvu za kuoa.
Ila nitaoa 2025
Kijana nimeowa..unaogopa kuchapiwa๐ na ni shughuli sio poa
Kweli ni hekaheka tupu ila ni hekaheka zaidi ukioa/kuolewa na vijana wa karne ya sasa, utaona kila rangi, ambao wameoa au kuolewa siyo kwamba kuna kitu wanafaidi ni vile tu mmoja amekubali yaishe na awe mpumbavu ili maisha yaendelee.Wasicha wa kazi wa siku hizi ni tabu tupu.
Hawajui wajibu wao hivyo unatumia akili na nguvu nyingi kukaa nao. Mimi mtoto wangu wa mwisho nilimpeleka shuleni ( daycare) nikawa nikienda kazini naenda naye namdrop hapo nikirurudi nampitia.Sasa ukishazeeka hizo hekaheka utaziweza?
Ni kuendelea kuomba Mungu kwani siku zote vurugu hutokea penye utulivu,ni kitu nafanya kila siku kuomba utulivu kwenye familia sijasema kwamba nimeshamaliza.Txt 2 ass mzee za. Ez Sasa hivi una miaka mingapi? Kwenye ndoa?
Pengine inakusubiria ufikishe miaka 12 ndio ndoa ivunjike!!!! Laana inasaka 12 years