Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

NYUMBA 7 ni uchovu mkuu.. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hahahah, at 30 inabidi uwe nazo 10, 1 for each year since turning 20,

Sema inadepend na maeneo, Mfano, kuna watu wapo mikoani, wanajenga nyumba ya kawaida tu kwa 15M na inaonekana nyumba ya mfano wa kuigwa mtaani hapo, ila kwa Dar mfano bila 35M huwez hamia hata kibishi nyumbani kwako
All in all mimi nawapongeza wote wenye nyumba zao, ni hatua ya kwanza kubwa ya kuwa financially free
 
yaah mzee..vijana watafute helaa!!
 
Mkuu 35 inatosha japo ni kibishi Kwa nyumba ambayo imefika zaidi ya asilimia 75
 
Dogo uko too arrogant, tulia, relax.. Nyumba si kitu ya kupiga sana kelele!
 
We jamaa!

Nyumba iko na tofali 68500?

Hebu tuheshimiane basi, JF kuna watu wazima ujue!

Ni tofali za aina gani hizi?
 
Ni kweli, ila jinsi ya kuipata hio 35M sasa ndo shida
Beberu ukisubiri upate hela yote Kwa mkupuo ndo ujenge itakuwa ngumu hasa kwa sisi watu wa kipato cha kawaida...Anza na kiasi ulichonacho...nina ujenzi wangu nimeanza kujenga boma nikiwa na laki sita ya kuanzia...lakini hadi ninapoandika hapa nimeifunika...chumba seble selfu vitatu!!
 
We jamaa!

Nyumba iko na tofali 68500?

Hebu tuheshimiane basi, JF kuna watu wazima ujue!

Ni tofali za aina gani hizi?
Nimesema kuanzia msingi then me sina haja ya ku fake maisha sjawai kuwaza ata siku moja ndo mana me hua mvivu mno kubishana na mtu
Ila kama upo Dom ni PM uje home
 
Usipanick kusikia mwenzio kajenga nyumba yake ya kwanza akiwa na miaka 25 au 30.

Ukiona kwa umri ulionao bado hujajenga jua muda wako haujafika.

Kibongo bongo tunasema life begins at 40.

=======
Kujibu swali la mtoa mada, nimehamia kwenye nyumba yangu nikiwa na 30
 
Hongera zako, umetumia muda gani kuijenga hadi hapo
 
Mapema kabisa, hongera sana mkuu,
Yeah life begins at 40 aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…