Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mkuu umeona kamba?We jamaa!
Nyumba iko na tofali 68500?
Hebu tuheshimiane basi, JF kuna watu wazima ujue!
Ni tofali za aina gani hizi?
Huo ni mtazamo wako mkuu hujui dream yangu ni nn stay silence na stress zako za maisha fala weweKama ni nyumba ya chini,kuna high possibility ukakaa humo humo mpaka ukafia hapo bila kua na gorofa
Chukua takwimu,wote waliowahi kujenga nyumba za chini ku-transition to gorofa ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Awe na hela au asiwe nazo,ni ngumu kupita maelezo maana ile nyumba yake ya mwanzo imegeuka yeye na nyumba ni yeye,hawezi hama hata awe na hela regardless
Jamaa yangu alichelewa kujenga ila finally kajenga gorofa to way much luxurious with budget nearly 1Bilion..
Sasa wenzake waliowahi kujenga vijumba vyao vya chini huko uswahilini viwanja vya milioni sasa hivi are having tough times to upgrade,no money,no power,umri umeenda,etc!
I see this contest funny
HahahaaaaHuo ni mtazamo wako mkuu hujui dream yangu ni nn stay silence na stress zako za maisha fala wewe
Stress haziko sawa bro... Tunazidiana na ambition vilevile xo kama muungwana ulitakiwa kutoa ushauri tu kuwa usiridhikee kaza Buti but you make predictions za maisha ya mtu generally why broHahahaaaa
Nilijua utapaniki tu sababu hujanielewa....
Kwanza sijui nyumbani yako ni ya aina gani,huenda ni ghorofa...mimi nimetoa observations tu wala sijakuzungumzia wewe generally
Stress kila mwanadamu anazo,nothing new unachosema here!
Usitamani kujengaSiri kubwa ni ipi kaka mkubwa maana wadogo zenu tuko nyuma yenu tunataman na ss tununue viwanja na tujenge pia
HahaaaaStress haziko sawa bro... Tunazidiana na ambition vilevile xo kama muungwana ulitakiwa kutoa ushauri tu kuwa usiridhikee kaza Buti but you make predictions za maisha ya mtu generally why bro
Kwanini mkuu..?Usitamani kujenga
Mtu chake. Alimradi hadaiwi kodi na kunya kwa folenimtu amejenga chanika kajumba hakaeleweki alafu anafanya kazi Mjini haoni kabisa adha na gharama yeye kwake muhimu kumiliki nyumba any way ni mtazamo tu.
acha kuwatisha vijanaUsitamani kujenga
sometimes inatokea tu boss.. sikuwahi kufikiria kwa umri huo kama hata ningeweza kununua Kiwanja!Hongera sana mkuu
Asante mkuu, japo ilikuwa kwa mbinde sana, kibishi na kujikana na starehe za dunia.Unastahili maua yako