PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bibi yako anaenda kunyea debe ICC.
ICC haiendeshwi na mihemko kama yako. Ushasikia statement yoyote kuhusu hicho mnachokisema nyie.
Fanyeni kazi hizo nchi mnazofurahia zimejengwa na ustaarabu na siyo vurugu za kipuuzi kama mnazohamasisha nyie.
Halafu watu mlioko USA na Kenya msijione kwamba nyie ndo mnaa akili na kwamba nyie ndo watanzania peke yenu. Kazi kukaririshana maneno tu mara ICC wakati hata hamjui inafanyaje kazi.
Kwamba ICC huwa wanatoa statement kama chama cha siasa?

Kwamba ICC huwa wanatoa statement kama chama cha siasa?
ICC hawafanyii kazi ushahidi wa whatsap. Halafu hata ukiangalia yale mnayoyaita mashitaka yapo hovyo, mnamtaja hayati kwenye mashitka ya mtu mwingine. Shida wanaharakati hamsomi nyaraka mkajiridhishe nyie mnakariri chorus tu mnatamba nayo mtaani.
 
Reactions: Tui
Manyumbu yameandamna kwenye keyboard.Kuna taahira mmoja anaitwa Lord Denning mpaka kavalishwa pampers anaharisha kajificha chini ya kitanda.
Ukisoma wanavyojivuna hapa kitawaka utadhani kweli.Ukweli ukidhihiri manyumbu yote yanakimbilia chini ya vitanda.Ingiza pua barabarani uipate.
 
Taahira la mbowe
 
Taahira la mbowe
Tulia izame usipige kelele!! Samia anawanyoosha nyie kima!! Dunia ina mafunzo sana sidhani kama umewahi waza enzi zile za Magu ungewahi kuja kuwa upande wa wanaoumia hahahahahahaha
 
Reactions: Tui
Wewe endelea kuosha vibibi vya kizungu ughaibuni . Mambo ya Gen z wa bongo achana nayo bado Ile trauma ya milio ya risasi haijaisha.
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Kura za maruhani hizo
Ustaarabu gani unaosema wewe, huu wa kwenu wa kutekana na kuuana?
 
Itoshe kusema kuna dalili za wazi ana changamoto kubwa mbele yake.
 
Ndiyo maana wakauwawa kama kumbi kumbi!..eti Gen Z kiboko. Kama wewe ndiyo mshauri wao mkuu basi inaingia akili Kwanini waliongukia pua..
Pathetic
 
Mkuu na mimi nataka nifike USA nitumie njia gani?
 
Tulia izame usipige kelele!! Samia anawanyoosha nyie kima!! Dunia ina mafunzo sana sidhani kama umewahi waza enzi zile za Magu ungewahi kuja kuwa upande wa wanaoumia hahahahahahaha
Takataka la Mbowe tunakujua! Hahaha...

Yule kilaza amnyooshe nani?
Tunamnyoosha au anatunyoosha.

Hukuona akinena kwa lugha siku akiongea na wazee wenzie?

We endelea kumbinulie Mbowe aendelea kukuharishia mazagazaga yake
 
Takataka la Mbowe tunakujua! Hahaha...

Yule kilaza amnyooshe nani?
Tunamnyoosha au anatunyoosha.

Hukuona akinena kwa lugha siku akiongea na wazee wenzie?

We endelea kumbinulie Mbowe aendelea kukuharishia mazagazaga yake
Una hasira sana ila Samia yupo sana tu we changu wa kimboka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…