Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Mwaka 2018
Umri 25yrs
Nilibet mkeka wa timu 48 kwa buku nikala 1,468,487/=
Matumizi:mama wa mtoto wangu 300000/=
Babu yangu upande wa baba alikukuwa kavunjika bega hivyo tukaambiwa wajukuu tuchangie matibabu ilitakiwa 100000/= nikalibeba hilo kwa kutoa kiasi chote.
Iliyobaki nikapendelea mimi binafsi
 
Hapo njema sana mkuu. Unajijali na unawajali watu wako 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…