Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Nilikua na miezi minne tumboniKwema wakuu!
Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata? Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Laki ni hela nayoUkianzisha Uzi wa laki laki unitag please
100M tiyari17 nilipewa kama pocket money after kumaliza high school, nilikua nasafiri peke yangu for the first time kumtembelea aunty yangu majuu π π .
Hongera mkuuKwanza niliipata huko nyuma sana kwenye dili za kuuza shaba ,nikiwa mdogo sana ...kuna sehemu nyumba ziliungua ,tukaenda kuokota shaba na vyuma tukauza .
Chuo mwaka wa kwanza nilipata pesa ya kujikimu ile batch ya kwanza mara mbili π , halafu nikiwa mwaka wa pli nilipiga mil 8 kwa online pyramid scheme ila nishatemana nazo...Pesa kama zote niliweka home kwenye ukarabati wa nyumba fresh ila sio mwekezaji mzuri.
Nilitumia pesa sana ,nilitumia bila ya kuzalisha kwa mwaka 1.5 ikabaki mil 1 ,ghafla napata ajira naanza na take home ya 2.4 acha tu basi ,nili'hang sana watu wanajua mimi tajiri mpaka leo .
Niliishi juu juu ila sikuwahi kubaki mikono mitupu tangu nishike pesa mara ya kwanza.
Wap
Wapambe noma kwani kidogo!Tena wa Sasa ndio wamezidi na msemo wao'Huna baya Boss,hata Ukifa huozi!
Namshukuru mungu kwa kujalia kupata mabint kwenye uzao wangu π nasubiri milioni zingineBila binti mzeewetu ungepita mikono mitupu π π
bao la ujanani limelipa uzeeni.Bila binti mzeewetu ungepita mikono mitupu π π
Yes nikiwa na 28 uwekezaji kwenye biashara π100M tiyari
Good saivi itakua 1B maana umezeeka sasaYes nikiwa na 28 uwekezaji kwenye biashara π
Hujatuambia uliipataje na uliitumiajeMimi miaka 20
ππππbao la ujanani limelipa uzeeni.
Hapana, badoGood saivi itakua 1B maana umezeeka sasa
bado sijapata.