Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Hii siku mimi na majirani zangu hatukupata usingizi.
 
Nilikua nishaingia kitandani nasikiliza radio kwa mbali ghafla ikakata kwa muda mfupi ikarudi na nyimbo za kwaya mfululizo moyoni nikawaza kuna kitu hakipo sawa sijakaa vizuri nasikia tangazo makamu anasema chuma kimegomea sembe.

Nikainuka kitandani nikapiga simu mbili tatu nikatoka bar ya jirani nikakuta jamaa wanapiga shangwe tukapopoka hadi mida mibaya, likaja difenda wakadai tuzime mziki mziki ukazimwa tukaendelea kula vyetu
 
Ilikuwa siku ya furaha sn zaidi ya X-mas
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaah
 
Kwa shangwe hadi nikaanza kuwapigia watu wanaomkubali usiku ule,wengi walihuzunika ila mimi shangwe kwa sana....

Ila nikajagundua nilikosea ila ndiyo hivyo hisia hazifichiki....R.I.P soldier ulitenda kwa namna yako..
Usiitafsiri 'like' yangu kwa content nzima ya comment yako.

Like yangu inahusiana na AYA pili na kuendelea. Aya ya kwanza umevuruga mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…