Asee huu wimbo ni wakati tunaenda kuzika bhana sio wa Sunday school%%mbinguniiii...kuna makao mazuri sana..mbinguni kwa baba kuna makao mazuri sana%%
%%%jamani parapandaaaa...parapanda italia parapanda×2 ...oooh parapanda!! na hao wateule..watakuwa wamekwisha nyakuliwa......%%%
%%%haleluya tutaonanaa×2 tutaonana mbinguni kwa baba ..haleluya tutaonana.%%%
HIZI WAKATI NIKO MDOGO NILIZIPENDA....SASAHIVI STAKI KABISA...!
Jamani mtume Paulo... Alikwenda Kooorinto..
Korinto kutafuta nini.. kuhubiri iiiinjili.
Nawe kaka unaitwa nani.......
Hapo sehemu ya kutajana majina ndo nilikuwa siipendi.
Hapo step zinafanana tunachimbua halafu tunamwaga..Chimbua tumtupe shetani x2
Chimbua na matendo yake....
Chimbua na makazi yake....
..n.k
Maadam umeniita wacha nikuimbie. ......
Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Huu ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe Bwana anakuona mpaka rohoni mwakoooo
Shilingi shilingi shilingi shilingi senti senti tuu.
Na mwingine huu....
Paulo na Silaa waliombaaa
Paulo na Silaa waliombaaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Paulo Sergio De Souz
Na sisi watoto tukiombaa
Na sisi watoto tukiombaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Tembea na yesu amen..X2
Tembea na Yesu ameni haleluyah ameni. ..hili pambio likiimbwa najua ni wakati wa kurudi nyumbani
nyie pia tulisali woteMaadam umeniita wacha nikuimbie. ......
Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Huu ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe Bwana anakuona mpaka rohoni mwakoooo
Shilingi shilingi shilingi shilingi senti senti tuu.
Na mwingine huu....
Paulo na Silaa waliombaaa
Paulo na Silaa waliombaaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Paulo Sergio De Souz
Na sisi watoto tukiombaa
Na sisi watoto tukiombaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Hahaha. Kwa mara nyingine, sijawahi kufungwa wala kushikiliwa.
nyie pia tulisali wote
MIE MWENYEWE KIKONGWEHhahahahaa kweeliii, kwa hiyo wewe ni sunday school mate wangu? hehehehee mie nna wasi wasi bana, kuwa ajuza Kasie alikuwa Sunday School na weye....anyways sibishi sana yaweza kuwa.
Hhaahahahaahaaaa wewee huu wimbo sio wa Sunday School. Huu ni wa michezo ya kawaida tuu mtaani mkiwa mnacheza watoto ziko nyimbo nyingi tuu kama kibunzi kibunzi... cha meemee cha meemee....... mwingine ni kiooo kioo alikivunja nanii sijuii sijuiii wa mwisho akamatwee...... pamoja na michezo kama kombolela na kidali poo. Bado kiskio poo na karata.Nina Ndoo Yangu eenh Yakuchota Maji eenh Maji ya Barafu Eeenh
Watoto msitizame Nyuma... Yai bovu linapita.....
(Sunday School Sunday School Naipenda Sunday School...)
Hap Zamani mmmmmmhhhmmmmhh
Ngoja Nikuambie mmmmmmmh mmmmmmmmhhhh
MIE MWENYEWE KIKONGWE