Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

%%mbinguniiii...kuna makao mazuri sana..mbinguni kwa baba kuna makao mazuri sana%%

%%%jamani parapandaaaa...parapanda italia parapanda×2 ...oooh parapanda!! na hao wateule..watakuwa wamekwisha nyakuliwa......%%%

%%%haleluya tutaonanaa×2 tutaonana mbinguni kwa baba ..haleluya tutaonana.%%%

HIZI WAKATI NIKO MDOGO NILIZIPENDA....SASAHIVI STAKI KABISA...!
Asee huu wimbo ni wakati tunaenda kuzika bhana sio wa Sunday school
 
Jamani mtume Paulo... Alikwenda Kooorinto..

Korinto kutafuta nini.. kuhubiri iiiinjili.

Nawe kaka unaitwa nani.......

Hapo sehemu ya kutajana majina ndo nilikuwa siipendi.
 
Maadam umeniita wacha nikuimbie. ......

Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Huu ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe Bwana anakuona mpaka rohoni mwakoooo
Shilingi shilingi shilingi shilingi senti senti tuu.

Na mwingine huu....

Paulo na Silaa waliombaaa
Paulo na Silaa waliombaaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Paulo Sergio De Souz

Na sisi watoto tukiombaa
Na sisi watoto tukiombaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
 
Jamani mtume Paulo... Alikwenda Kooorinto..

Korinto kutafuta nini.. kuhubiri iiiinjili.

Nawe kaka unaitwa nani.......

Hapo sehemu ya kutajana majina ndo nilikuwa siipendi.

Hahahahahaa hapo usipopapenda .....naitwa dada Kasinde. ... Kasinde umetoka waapiii nimetokea Tabora.
 
Maadam umeniita wacha nikuimbie. ......

Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Huu ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe Bwana anakuona mpaka rohoni mwakoooo
Shilingi shilingi shilingi shilingi senti senti tuu.

Na mwingine huu....

Paulo na Silaa waliombaaa
Paulo na Silaa waliombaaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Paulo Sergio De Souz

Na sisi watoto tukiombaa
Na sisi watoto tukiombaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Milango ya mbinguni itafungukaa

Hahaha. Kwa mara nyingine, sijawahi kufungwa wala kushikiliwa.
 
Tembea na yesu amen..X2
Tembea na Yesu ameni haleluyah ameni. ..hili pambio likiimbwa najua ni wakati wa kurudi nyumbani
Maadam umeniita wacha nikuimbie. ......

Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Huu ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe Bwana anakuona mpaka rohoni mwakoooo
Shilingi shilingi shilingi shilingi senti senti tuu.

Na mwingine huu....

Paulo na Silaa waliombaaa
Paulo na Silaa waliombaaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Paulo Sergio De Souz

Na sisi watoto tukiombaa
Na sisi watoto tukiombaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
nyie pia tulisali wote
 
nyie pia tulisali wote

Hhahahahaa kweeliii, kwa hiyo wewe ni sunday school mate wangu? hehehehee mie nna wasi wasi bana, kuwa ajuza Kasie alikuwa Sunday School na weye....anyways sibishi sana yaweza kuwa.
 
Hhahahahaa kweeliii, kwa hiyo wewe ni sunday school mate wangu? hehehehee mie nna wasi wasi bana, kuwa ajuza Kasie alikuwa Sunday School na weye....anyways sibishi sana yaweza kuwa.
MIE MWENYEWE KIKONGWE
 
Nina Ndoo Yangu eenh Yakuchota Maji eenh Maji ya Barafu Eeenh

Watoto msitizame Nyuma... Yai bovu linapita.....

(Sunday School Sunday School Naipenda Sunday School...)
Hhaahahahaahaaaa wewee huu wimbo sio wa Sunday School. Huu ni wa michezo ya kawaida tuu mtaani mkiwa mnacheza watoto ziko nyimbo nyingi tuu kama kibunzi kibunzi... cha meemee cha meemee....... mwingine ni kiooo kioo alikivunja nanii sijuii sijuiii wa mwisho akamatwee...... pamoja na michezo kama kombolela na kidali poo. Bado kiskio poo na karata.

Yaani umenikumbusha mbali sana looh
Hap Zamani mmmmmmhhhmmmmhh
Ngoja Nikuambie mmmmmmmh mmmmmmmmhhhh

Huu sasa ndo wa dini hehehee.
 
.nimekumbuka way back

Long life mama,long life bibi kuniamsha asubuhi na kunivalisha pamba alafu aninipa 50/100 hivi ya kutambia
 
Hata high school nimepiga sana pambio
Boys tu, sauti nzito, hamna kutegeana
 
Back
Top Bottom