Maadam umeniita wacha nikuimbie. ......
Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Huu ndio wakati wa kutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiriaaa
Toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe Bwana anakuona mpaka rohoni mwakoooo
Shilingi shilingi shilingi shilingi senti senti tuu.
Na mwingine huu....
Paulo na Silaa waliombaaa
Paulo na Silaa waliombaaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Milango ya gerezaaa ikafungukaa
Paulo Sergio De Souz
Na sisi watoto tukiombaa
Na sisi watoto tukiombaa
Milango ya mbinguni itafungukaa
Milango ya mbinguni itafungukaa