four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,408
Nishawahi pita na pisi kadhaa zenye ubora ila wengi changamoto zao ni kwenye pesa na uaminifu maana anafatwa na wengi,kasoro za kunuka mdomo au kikojozi au sijui matusi ni vitu vinavyorekebishika mbona,shida kubwa ni hapo kwenye pesa ukiendekeza kukaa na mtu wa hivyo unaweza usifanye lolote la maana pesa yote unapeleka kwake kumfurahisha