Kwa kweli hata mimi sifurahi Mungu kutokuwepo.Sawa ni uongo na Mungu hayupo umeshafurahi
Sasa we unabisha na kuna watu wanamaisha magumu na ni wabahili vibaya mno na wanafanya kazi kwa bidii zoteHao bado ni maskini huwezi kuwaita ni bahili kwa sababu hata wanachokipata wao wenyewe hakiwatoshi so hao wanabaki kuwa maskini.
Ninavyojua mimi bahili ni yule baada ya kufanya yote ya msingi (ya lazima) kinachobaki anakitunza hata itokee nini hakitoi,mtu mwenye uwezo wa kula vizuri kwa uhakika,watoto kwenda shule na kulala pazuri huwezi kumsema ana hali mbaya kiuchumi hao unaowajua wewe hawajafikia sifa za kuitwa wabahili.
Hawataki kutumia akili zao kabisa😂😂😂
Kitu kidogo tu namkabidhi BWANA sasa hapa duniani bila changamoto hakuna Maendeleo wala Ubunifu.
Unalazimisha ligi kwa lazimaKwa kweli hata mimi sifurahi Mungu kutokuwepo.
Kwa sababu, Mungu angekuwepo, yeye ndiye angekuwa na mzigo wote.
Ila, Mungu hayupo, huo ndio ukweli.
Ukweli ni muhimu kuliko furaha yangu.
kabisaMimi nasema walokole wengi ni walokole kwasababu ni maskini. Ulokole ndo unakua njia ya kukabiliana na changamoto za maisha....
Yani wewe unakuja na habari zako zisizothibitishika, zisizo mantiki, zisizo kichwa wala mguu.Unalazimisha ligi kwa lazima
Endelea na furaha yako
Sawa unalingine ambalo umesahauYani wewe unakuja na habari zako zisizothibitishika, zisizo mantiki, zisizo kichwa wala mguu.
Halafu mtu anakutaka uthibitishe hizo habari.
Halafu unamsema huyo mtu anayetaka uthibitisho kuwa ndiye analazimisha ligi?
Yani kujamba ujambe wewe, halafu mtu akikuambia hapa umejamba, ushuzi wako unachafua hewa, unamlaumu huyo mtu anayekuambia ukweli tu kwamba umejamba, unasema kakukosea heshima na anapenda ligi.
Wakati kujamba umejamba mwenyewe?
Kujamba ujambe wewe, lawama unipe mimi niliyesema tu hapa umejamba?
Wewe kama unataka kubishana sawa lakini kama unataka kuelewa utaelewa tu.Sasa we unabisha na kuna watu wanamaisha magumu na ni wabahili vibaya mno na wanafanya kazi kwa bidii zote
Mafanikio hayanauhusiano na ubahili bali yamefungwa kwenye kutatua changamoto, connection na michongo mafanikio ndo yapo huko na sio kua mbahili
Kama kuna lingine nililotaka kuandika nimesahau, huo pia ni ushahidi hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Sawa unalingine ambalo umesahau
kujiombea hata mm naweza kujiombea ila katu sadaka na fungu la kumu wasahauMchungaji anakula madhabahuni sio kosa ndo ujira wao
Sisi sawa na wafanyakazi wengi wanataabika huku mabosi zao wakitembelea magari ya million 500
Fanya kazi kwa bidii hakuna vita vya kiroho acha kuamini ujinga.Mtumishi unawezaje kumsaidia mtu anayepitia vita ya kiuchumi kwa upande wa kiroho
Msaada tafadhali
Maisha yangekua marahisi hivyo kama unavyotaka kuaminisha hakuna mtu angekua na shida hapa dunianiFanya kazi kwa bidii hakuna vita vya kiroho acha kuamini ujinga.
Hamisha makazi hapo ulipo na utafute eneo sahihi la shughuri zako, jitenge na upunguze mazoea kwa baadhi ya watu, acha kuanika wazi siri zako na mipango ya maisha yako kwa watu.
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe hakuna anae kuloga bali ujinga wako wa kuikosa Elimu ya mafanikio.
Umemaliza mkuu.Hasiefanya Kazi na hasile . Unashinda kanisani unategemea Mungu atakushushia kapu la sadaka
Watakutenga ,hauta zikwa Kwa heshimakujiombea hata mm naweza kujiombea ila katu sadaka na fungu la kumu wasahau
Jibu ni Ndiyo, nimejiulizaKama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao zinaishi vizuri
Unatakiwa uwe jasiri ili urithi ahadi za Mungu
Walokole wengi sana wanataka Mungu awaletee baraka mezani kwenye sahani huku kiuhalisia unatakiwa upiganie kisawa-sawa, baraka yeyote ile Mungu anayotaka kukupa inakipimo cha ujasiri ndani yake hutaipata kirahis rahisi lazima uwe jasiri ili uipate
Mungu hajibu maombi kama unavyotaka wewe
Wengi tunamuomba Mungu mahitaji mengi ukweli ni kwamba alishajibu kitambo ila sisi tunafeli sababu tunataka atujibu tunavyotaka ndo hapo tunafeli mfano unamuomba Mungu kuhusu ajira baada ya mda inatokea kazi ila mshahara ni laki 2 wengi wetu tunakataa ila Mungu anakua ameshakujibu tayari we unaona laki 2 ila Mungu anaona mamilioni na kutokujua hili wengi wetu tunafeli sana
Mungu anataka ufanikiwe kati-kati ya vurugu, kupingwa na kuchukiwa
Wengi wetu tunataka kufanikiwa kwenye comfort zote hiyo ndo changamoto kubwa inayotusumbua
Jambo la wewe kujua baraka ya Mungu kuja inaambatana na vurugu nyingi na magumu mfano Mungu anaweza kupa uongozi kwenye ngazi yeyote ile ila kuwa na uhakika utaibuka upinzani mkali ambao hukuutegemea kosa la wengi wetu tuna-quit ndo tunapokosea
Baraka yeyote ya ki-Mungu lazima iambatane na uchungu mkali sana mwanzoni
Mungu alimwambia eva utazaa kwa uchungu na akamwambia adamu utakula kwa uchungu; ukiangalia keyword hapo ni uchungu
Baraka yeyote kwa asilimia 99 lazima itaambatana kwa uchungu mwanzoni ndo uipate ni baraka chache sana zinaambatana na furaha mwanzoni
Unapokutana na changamoto yeyote usikimbilie kuitoa bali muombe Mungu iwe irrelevant (tafuta namna ya kuishi nayo) na baada ya hapa muombe tena Mungu akuonyeshe utajiri, heshima na utukufu wa Mungu uliopo ndani ya hiyo changamoto
Kosa kubwa sana wanalofanya watu ni kutumia nguvu kubwa kuondoa changamoto zinazowakabili jambo la wewe kufahamu changamoto yeyote ndani yake kuna utajiri, heshima na tukufu wa Mungu
Sasa unapokimbilia kuiondoa changamoto inayokukubali unapoteza hivyo vitu vitatu utajiri, heshima, na utukufu kwa Mungu
Ndo maana unaweza omba Mungu hitaji flani akakuletea changamoto au tatizo kumbe pasipokujua ndani ya hilo tatizo au changamoto kuna utajiri, heshima, na utukufu kwa Mungu
Na changamoto unayoiweza kuihimili hio sio changamoto
Kwako ni changamoto mpaka pale wewe binafsi imekushinda hio ndo changamoto ninayoongolea
'HASIEFANYA KAZI NA HASILE'Hasiefanya Kazi na hasile . Unashinda kanisani unategemea Mungu atakushushia kapu la sadaka