Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Exactly kabisa, na hapa ndipo ujinga wenyewe unaanzia.Bibilia inahimiza tuwe masikini
Wakristo na waislamu wanapaswa kuokolewa kutoka kwa Mungu wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly kabisa, na hapa ndipo ujinga wenyewe unaanzia.Bibilia inahimiza tuwe masikini
Kanuni ipi ambayo unadhan haitakiwi na waamini Mungu kimakosa na inathibitisha uwepo wa Mungu ?Bahati mbaya yako wewe na wenzako wasioamini katika Mungu na uwepo wake ni kwamba huo uthibitisho mnaoutaka una kanuni yake ambayo ninyi wote hamuitaki(hampo tayari kuifuata).
Huwezi ukasema unataka kupata eneo la duara halafu kanuni ya kulipata hilo eneo la duara huitaki(unaipinga). Hapo mtakesha![emoji3]
Wanaingiza kwa kuchukua pesa za masikini na wagonjwa kwa kisingizio cha sadakaKuna ambao kanisani ndo ofisini kwao mbona unakariri maisha
Mfano Makinisani kuna wahasibu wameajiriwa, kanisa ni taasisi usione ni mahali pa kupotezea mda watu wanaingiza siku
Hela zote wanawapa hao wachungaji matapeli.Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao zinaishi vizuri
Unatakiwa uwe jasiri ili urithi ahadi za Mungu
Walokole wengi sana wanataka Mungu awaletee baraka mezani kwenye sahani huku kiuhalisia unatakiwa upiganie kisawa-sawa, baraka yeyote ile Mungu anayotaka kukupa inakipimo cha ujasiri ndani yake hutaipata kirahis rahisi lazima uwe jasiri ili uipate
Mungu hajibu maombi kama unavyotaka wewe
Wengi tunamuomba Mungu mahitaji mengi ukweli ni kwamba alishajibu kitambo ila sisi tunafeli sababu tunataka atujibu tunavyotaka ndo hapo tunafeli mfano unamuomba Mungu kuhusu ajira baada ya mda inatokea kazi ila mshahara ni laki 2 wengi wetu tunakataa ila Mungu anakua ameshakujibu tayari we unaona laki 2 ila Mungu anaona mamilioni na kutokujua hili wengi wetu tunafeli sana
Mungu anataka ufanikiwe kati-kati ya vurugu, kupingwa na kuchukiwa
Wengi wetu tunataka kufanikiwa kwenye comfort zote hiyo ndo changamoto kubwa inayotusumbua
Jambo la wewe kujua baraka ya Mungu kuja inaambatana na vurugu nyingi na magumu mfano Mungu anaweza kupa uongozi kwenye ngazi yeyote ile ila kuwa na uhakika utaibuka upinzani mkali ambao hukuutegemea kosa la wengi wetu tuna-quit ndo tunapokosea
Baraka yeyote ya ki-Mungu lazima iambatane na uchungu mkali sana mwanzoni
Mungu alimwambia eva utazaa kwa uchungu na akamwambia adamu utakula kwa uchungu; ukiangalia keyword hapo ni uchungu
Baraka yeyote kwa asilimia 99 lazima itaambatana kwa uchungu mwanzoni ndo uipate ni baraka chache sana zinaambatana na furaha mwanzoni
Unapokutana na changamoto yeyote usikimbilie kuitoa bali muombe Mungu iwe irrelevant (tafuta namna ya kuishi nayo) na baada ya hapa muombe tena Mungu akuonyeshe utajiri, heshima na utukufu wa Mungu uliopo ndani ya hiyo changamoto
Kosa kubwa sana wanalofanya watu ni kutumia nguvu kubwa kuondoa changamoto zinazowakabili jambo la wewe kufahamu changamoto yeyote ndani yake kuna utajiri, heshima na tukufu wa Mungu
Sasa unapokimbilia kuiondoa changamoto inayokukubali unapoteza hivyo vitu vitatu utajiri, heshima, na utukufu kwa Mungu
Ndo maana unaweza omba Mungu hitaji flani akakuletea changamoto au tatizo kumbe pasipokujua ndani ya hilo tatizo au changamoto kuna utajiri, heshima, na utukufu kwa Mungu
Na changamoto unayoiweza kuihimili hio sio changamoto
Kwako ni changamoto mpaka pale wewe binafsi imekushinda hio ndo changamoto ninayoongolea
Kanuni ni KUMWAMINI MUNGU katika KRISTO YESU halafu ndio huo uthibitisho mnaoutaka mtaupata atakapokuwa akijidhihirisha kwenye maisha yenu!.Kanuni ipi ambayo unadhan haitakiwi na waamini Mungu kimakosa na inathibitisha uwepo wa Mungu ?
Je kanuni hiyo unaweza kuielezea na kuifanya iwe eligible?
Kwani takwimu zinasemaje kuhusiana na imani za wakaazi wa haya maeneoSi kweli, sote tunajuwa duniani kote watu watu wasiosoma na walio na maisha duni ni Waislam. Kutokana na chuki za kutokuwa na maisha mazuri wanajilipua na kwenda motoni kupewa mabikra 72 walioahidiwa na shetani (Allah).
Labda hapa Tanzania ila si kweli kuwa duniani matajiri wakubwa ni Waislam.Mkuu mi sio mwislam ila mwislam halisi kabisa huws wa wameridhika sana,unaweza kumwona ana maisha duni hila watu hawa hawana tamaa. Pili matajiri wakubwa kabisa hapa tz ni waislam, matajiri wakubws kabisaa duniani ni waislam. Sababu esnafanya kazi kwa bidii na wanadali sana kuliko wakristo