Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

Waamini Mungu sio matapeli au wahujumu uchumi wanaokwapua mali zisizo zao. Hata akiwa muajiriwa atafanya kazi kwa weledi, nia moja na uaminifu na rushwa kwao ni mwiko.
Waamini Mungu ni watu walio tulia na wenye amani maishani hata kama kipato chao halali ni kidogo bado wanatunza familia zao ipasavyo.
 
Jibu ni Ndiyo, nimejiuliza

Na jibu lake ni kwamba hao wanaodai wameokoka no maskini kwasababu wanategemea kisichokuwepo.

Habari ya miungu ni hadithi zisizo na uhalisia totally.

Hakuna Mungu anayeendesha maisha katika ulimwengu huu.
Sawa hakuna ukilala usisahau kunywa maji na ukiamka asubuhi usisahau kupiga mswaki
 
Yesu mwenyewe alishawaona hawa wapuuzi ni vimeo. Akaenda mtaani kusaka wanafunzi wake. Petro alikuwa mvuvi akachukuliwa. Yaani wale wanafunzi 12 wote walikuwa na kazi zao na hawakuwa walokole ushuzi. Kimsingi Mungu mwenyewe hawajawahi kuwapa kazi zake watu wajinga wajinga na wavivu. Karibu manabii wote hawakuwa watu wa kushinda makanisani bali walikuwa wachapa kazi na walio bize na shughuli zao. Hawa walokole wa sasa wanadanganya eti "Pokea muujiza wa gari" na kwa ujinga wa hali ya juu wanasema NAPOKEA. Watazidi kuwa maskini huku viongozi wao wakizidi kuneemeka
 
Bibilia inahimiza tuwe masikini
 
Bibilia inahimiza tuwe masikini
Mathayo 19:23-24 BHN

Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni. Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Kama wewe ni msafiri wa kwenda mbinguni basi achana na ya dunia
 
1 Timotheo 6:10 BHN

Kwa maana kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote. Watu wengine wametamani sana kupata fedha hata wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja mioyo yao kwa huzuni nyingi.
 
1 Timotheo 6:10 BHN

Kwa maana kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote. Watu wengine wametamani sana kupata fedha hata wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja mioyo yao kwa huzuni nyingi.
Unaweza ukawa maskin na ukawa unapenda hela
 
Ebr 13:5 SUV

Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.
 
2 Timotheo 3:2 BHN

Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu
 
Yapo mafungu mengi sana kwa haya machache pata muda wa kutafakari, mwenzio nishaschana na masuala ya dini namwabudu Mungu wangu nijuavyo mimi
 
Somo murua kwa kwa jamii ya waliookoka. Ukilujua haitakupa shida kufikiri ni namna gani ufanikiwe, utajiri na heshima huku ukifurahia maisha ya wokovu duniani. Taratibu jamii hii imeanza kuelewa mafunuo ya kufanikiwa huku ukiwa umeokoka tofauti na miaka ya zamani ambako jamii isiyoishi maisha ya wokovu waliona kuokoka ni kujitenga na mafanikio ya haraka haraka yaliyo tangible
 
Unaamini kitu ambacho unashindwa kukitetea, kwa kushambulia watu wanaukuuliza uthibitisho wa imani yako
Haujakatazwa wala kulazishwa kutoamini unachoamini na sheria zote duniani zinakutetea na chaguo lolote la imani yako.
Lakini kama unashindwa au haupendi kuulizwa kuthibitisha imani yako au maelezo uliyoyaleta hapa , hapo ndipo inakuwa tatizo unapoleta haya maelezo ya imani yako kwenye mitandao ya jamii bila kuwa uthibitisho uhakika wa haya maelezo au imani yako.
Kwa hiyo hii posti yako haina ukweli wowote bali ni imani zako potofu ulizoshindwa kuzithibitisha....
 
Hii ni vice versa, badala ya Wakristu ungeweka Waislam.
 
Si kweli, sote tunajuwa duniani kote watu watu wasiosoma na walio na maisha duni ni Waislam. Kutokana na chuki za kutokuwa na maisha mazuri wanajilipua na kwenda motoni kupewa mabikra 72 walioahidiwa na shetani (Allah).
 
Malipo yanaanzia hapa duniani na yanaendelea hata baada ya mfumo wa kidunia kuisha!
 
Bahati mbaya yako wewe na wenzako wasioamini katika Mungu na uwepo wake ni kwamba huo uthibitisho mnaoutaka una kanuni yake ambayo ninyi wote hamuitaki(hampo tayari kuifuata).

Huwezi ukasema unataka kupata eneo la duara halafu kanuni ya kulipata hilo eneo la duara huitaki(unaipinga). Hapo mtakesha![emoji3]
 
Si kweli, sote tunajuwa duniani kote watu watu wasiosoma na walio na maisha duni ni Waislam. Kutokana na chuki za kutokuwa na maisha mazuri wanajilipua na kwenda motoni kupewa mabikra 72 walioahidiwa na shetani (Allah).
Mkuu mi sio mwislam ila mwislam halisi kabisa huws wa wameridhika sana,unaweza kumwona ana maisha duni hila watu hawa hawana tamaa. Pili matajiri wakubwa kabisa hapa tz ni waislam, matajiri wakubws kabisaa duniani ni waislam. Sababu esnafanya kazi kwa bidii na wanadali sana kuliko wakristo
 
Sawa hakuna ukilala usisahau kunywa maji na ukiamka asubuhi usisahau kupiga mswaki
Usahaulifu nao ni udhihirisho kuwa hakuna Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.

Ikitokea nmesahau kupiga mswaki maanayake mdomo utanuka na meno kushambuliwa na bacteria.

Kama unakubali kwamba hakuna Mungu Swali langu ni kwamba, kwanini mnahadaa watu kuwa kuna Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…