Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

Kanuni ipi ambayo unadhan haitakiwi na waamini Mungu kimakosa na inathibitisha uwepo wa Mungu ?

Je kanuni hiyo unaweza kuielezea na kuifanya iwe eligible?
 
Kuna ambao kanisani ndo ofisini kwao mbona unakariri maisha
Mfano Makinisani kuna wahasibu wameajiriwa, kanisa ni taasisi usione ni mahali pa kupotezea mda watu wanaingiza siku
Wanaingiza kwa kuchukua pesa za masikini na wagonjwa kwa kisingizio cha sadaka
 
Hela zote wanawapa hao wachungaji matapeli.
 
Kanuni ipi ambayo unadhan haitakiwi na waamini Mungu kimakosa na inathibitisha uwepo wa Mungu ?

Je kanuni hiyo unaweza kuielezea na kuifanya iwe eligible?
Kanuni ni KUMWAMINI MUNGU katika KRISTO YESU halafu ndio huo uthibitisho mnaoutaka mtaupata atakapokuwa akijidhihirisha kwenye maisha yenu!.

Ni mpaka uitii na kuiishi kanuni hii ndio utaona hiyo eligibility practically. Hakuna namna nyingine!
 
Si kweli, sote tunajuwa duniani kote watu watu wasiosoma na walio na maisha duni ni Waislam. Kutokana na chuki za kutokuwa na maisha mazuri wanajilipua na kwenda motoni kupewa mabikra 72 walioahidiwa na shetani (Allah).
Kwani takwimu zinasemaje kuhusiana na imani za wakaazi wa haya maeneo
Je huko kuna misikiti mingi au makanisa mengi?

 

Attachments

  • 1700230176579.png
    206.4 KB · Views: 4
Labda hapa Tanzania ila si kweli kuwa duniani matajiri wakubwa ni Waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…