Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ahsanta! Nitafute haraka kabla 10 la kwanza halijaisha.Waarabu pekee ndio waliotokana na uislam kupitia Mtume wetu Muhammad (SAW),wengine wote tumezaliwa ktk jamii za waliosilimishwa.
Hata hivyo hoja hapa ni Wamasai Waislam regardless mambo ya kusilimishwa.
Umesoma Biography ya Carl Peters? Yule ACACIA wa miaka ya 1880s.Story ya kutunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngumu sana....ni sawa na kukutana na polisi ambaye ni kilema
ukikuta mmasai muislamu basi ni mganga wa kienyejiBinafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
Nenda chalinze na NamangaBinafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
Mie muhaya wewe hauoni hata jina hilo but ni islamic, tena usinicheleweshe nipo namuandalia futari mzee wangu,Wewe ni Masai muislamu? Tuanzie hapo
Nakutafuta sasa hivi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahsanta! Nitafute haraka kabla 10 la kwanza halijaisha.
Saudi arabia hakuna kanisa hata moja,wakristo wachache sana waliopo na jpili ili waabudu hukutana tu chumbani na kusali,ila marufuku kuweka msalaba ni mwikoYapo mkuu au hupajui saudia
Hapana mkuuUmesoma Biography ya Carl Peters? Yule ACACIA wa miaka ya 1880s.
Wamachame wapo japo siyo wengiMchagga muislam....wachache sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] atung'waeTapalare Ilayok mekindoki aisumbua. Tung'wai tine.
Ok mkuuSio story ya kutunga,wamissionari walipata tabu katika baadhi ya makabila ya waafrika hasa wakushi na wanailoti kuliko kuliko makabila mengine.
Inna Al Ahda Kàna Mas'ulaNakutafuta sasa hivi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi mi nilisoma moja kati ya Biography zake alipokuja kuwalaghai ma-chukua chako mapema ya enzi hizo kwamba kulikuwa na ugumu kuingia ardhi ya wamasai hadi kwa mbinu kadhaa.Hapana mkuu
Nimekusoma mkuuBasi mi nilisoma moja kati ya Biography zake alipokuja kuwalaghai ma-chukua chako mapema ya enzi hizo kwamba kulikuwa na ugumu kuingia ardhi ya wamasai hadi kwa mbinu kadhaa.
Au chukua mchanga wako mapema wa sasa!ma-chukua chako mapema
Yeah, ila huyo Peters alikuwa balaa. Alichowafanyia wamasai hawakumsahau. Kila wakimuona ngozi nyeupe enzi hizo ilikuwa kwanza wanamuuliza ikiwa anamjua Peters!!!!Nimekusoma mkuu