Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Waarabu pekee ndio waliotokana na uislam kupitia Mtume wetu Muhammad (SAW),wengine wote tumezaliwa ktk jamii za waliosilimishwa.
Hata hivyo hoja hapa ni Wamasai Waislam regardless mambo ya kusilimishwa.
Ahsanta! Nitafute haraka kabla 10 la kwanza halijaisha.
 
Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
ukikuta mmasai muislamu basi ni mganga wa kienyeji
 
Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
Nenda chalinze na Namanga
 
Back
Top Bottom