FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Maandiahi na hiyo picha yana uhusiano gani?, we kweli punguani, yaani kila unapoona hayo mashuka basi ni Mmasai,
Acha ushamba
Usinipotezee wakati, roho inakunyonga.
Ushamba ni jadi yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandiahi na hiyo picha yana uhusiano gani?, we kweli punguani, yaani kila unapoona hayo mashuka basi ni Mmasai,
Acha ushamba
Usinipotezee wakati, roho inakunyonga.
Ushamba ni jadi yangu.
Usinipotezee wakati, roho inakunyonga.
Ushamba ni jadi yangu.
Vip wale wanajeshi wa us waliofanya saud ni kwao, vip wafanyakazi, wachimba mafuta. Saudi ndo tamaduni ya kishamba iliyobaki hapa duniaSaudi arabia hakuna kanisa hata moja,wakristo wachache sana waliopo na jpili ili waabudu hukutana tu chumbani na kusali,ila marufuku kuweka msalaba ni mwiko
Ila waislamu China wananyanyaswa sanaView attachment 517256 Maustazi wa kuchina uisilamu uliingia afrika ya mashariki kabla ya uchina na kabla ya nchi za afrika kaskazini oman na irak
Hiyo sio point! Waislamu wachina wananyanyaswa na utawala wa kikomunist wa china,wakristu ambao ni wachache nchini china pia wananyanyaswa mabudha na watibet pia wananyanyaswa kiongozi wao wa kiroho dalai lama haruhusiwi china,anaishi india.wanafunzi waafrika pia wananyanyaswa.Ila waislamu China wananyanyaswa sana
Jazakalah kheyr!!mimi sio kwamba napinga upagani ila ndugu zetu wamasai wameiona nuru japokuwa mila zao zimetoka misri ya kale na wao ndio waliokuja na tohara dume huku kwenye savanah watoto wa ham hawa.mimi leo nimesali msikitin salat asri pemben yangu alikua mmasai tena na manguo yao ya kumasai
Mlemavu yule aliyesaidiwa bajaji na raisi umemsahau?Je Mmaasai zeruzeru au mlemavu?
Hv ole sendeka nae ni mmasai?Eti Ustaadh Ole Porukwa! Hahahahaaa!
Maumbile ya fuvu pia hubadilisha sauti angalia wazungu wakiongea utafikiri wana mafua siri za mola hiziMmsai mwenye sauti ya base yupo?
AppreciateMaumbile ya fuvu pia hubadilisha sauti angalia wazungu wakiongea utafikiri wana mafua siri za mola hizi