Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Maandiahi na hiyo picha yana uhusiano gani?, we kweli punguani, yaani kila unapoona hayo mashuka basi ni Mmasai,
Acha ushamba

Usinipotezee wakati, roho inakunyonga.

Ushamba ni jadi yangu.
 
Usinipotezee wakati, roho inakunyonga.

Ushamba ni jadi yangu.

Weka kwenye kichwa chako, hayo mashuka kwa sasa yanavaliwa na kila kabila, so sio kila ukiona mtu kavaa hayo maguo basi ni Mmasai

Usiku mwema
 
Saudi arabia hakuna kanisa hata moja,wakristo wachache sana waliopo na jpili ili waabudu hukutana tu chumbani na kusali,ila marufuku kuweka msalaba ni mwiko
Vip wale wanajeshi wa us waliofanya saud ni kwao, vip wafanyakazi, wachimba mafuta. Saudi ndo tamaduni ya kishamba iliyobaki hapa dunia
 
Ila waislamu China wananyanyaswa sana
Hiyo sio point! Waislamu wachina wananyanyaswa na utawala wa kikomunist wa china,wakristu ambao ni wachache nchini china pia wananyanyaswa mabudha na watibet pia wananyanyaswa kiongozi wao wa kiroho dalai lama haruhusiwi china,anaishi india.wanafunzi waafrika pia wananyanyaswa.
 
mimi leo nimesali msikitin salat asri pemben yangu alikua mmasai tena na manguo yao ya kumasai
Jazakalah kheyr!!mimi sio kwamba napinga upagani ila ndugu zetu wamasai wameiona nuru japokuwa mila zao zimetoka misri ya kale na wao ndio waliokuja na tohara dume huku kwenye savanah watoto wa ham hawa.
 
Je Mmaasai zeruzeru au mlemavu?
Mlemavu yule aliyesaidiwa bajaji na raisi umemsahau?

1471369524234-jpg.382776
 
Back
Top Bottom