miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Mhh... really? Nutajie characters za baba yako na nikusaidie.Ilikuwa ukimaliza tu kula usiku Kama hajapitia kilabuni siku hiyo uatasikia " hayaa kakojoeni mkalale".............. Hili limenilemaza Hadi Leo hata nikiwa napata moja Moto moja baridi au nimetoka na washkaji kidogo Mara nyingi nikijitahidi Sana mwisho saa tatu usiku......
Ila all in all , he was right in his own perspective na kumpa zawadi ni suala la msingi... Tatizo zawadi gani maana za wamama rahisi Sana.
Ni kweli kabisa huwa kwa wanaume kuchagua zawadi huwa ni ngumu sana kwao. Kwa sisi wanawake ni rahisi sana coz tunajua kumsoma mtu na kujua anatakiwa kupatiwa nini... ila kuna vitu huwa ni basic pia mkuu