πππππniache kwanzaKumbeee...ngoja kesho na keshokutwa uje ukutana na yule mtu anafanana kama Joti wakati anaigiza vile vituko vyake.sasa pata picha,ile suruali ya Joti,kofia yake iliyokaa upande,alivyoikunja chini,kapandisha mayeno,ule mshati π€lazima uvunje ugoko
Haki ya nani Niko hoi bin taaban kwa Mama Mchungaji, na akianza kushuka mistari ya biblia najisemea nimechelewa wapi mie griffin2. Ningekuwa najilia gombo la chuo nyumbani tu.
Wahusika wametajika au members wamekazaBado momy !!!
Nishakuacha mamaπππππniache kwanza
Weeeeee usiniambieSikuizi hamna hizo mambo tunaonana watsap kwanza
Nipo my dear! Mambo ni pouwaaa!Umepotea sana aiseh.
Mambo aje!!
Mmh hebu ngoja nikajipe Hii eksesaizi [emoji16][emoji16] [emoji125][emoji125][emoji1][emoji1]karma bhana..
Hajawahi hata kupeleka harufu yake kule kijiweni
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Yes mama mwanamke itakiwa ukaze kiaina
[emoji16][emoji16] [emoji41][emoji41][emoji1][emoji1][emoji1]Hebu hukoooo karma [emoji2][emoji2]
Ndiyo niliposema wanaume wengi wa Arusha ni wazuri wa sura nilimaanisha! Lakini hakuna mahali niliposema eti Mimi nikipenda mwanaume naangalia sura!Impliedly huwezi zungumzia kitu ambacho hukimaanishi af mie lini nimeanza kuwa dogo kwako? Hebu tia adabu kidogo mama[emoji41] kuna watu wengi sana naheshimiana nao humu!
Pitia comments za watu haiwezekani wote wanao thibitisha waliwahi kupenda wasiemfahamu wakawa vichaa wewe peke ako ukabaki mzima mkuu.Sasa unampendaje mtu hujawahi kumuona[emoji2297][emoji2297] hicho nacho ni aina ya kichaa kwakweli.
Hahahaha mi ulevi wng sura tu,sijuh kiuno,takro au guu ivyo kwng nyongeza. Mungu antie nguvu nipate ujasiri wa kuja uko PM tuyajenge [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli huku Ni kupatwa kwa upendo, ukinibumba kwenye imagination yako unapata mtoto flani mkali mwenye guu la bia eeeh