Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Kinachofanya watu wanajificha ni pale ambapo wewe kichwani una picha ya beyonce, unashangaa linatokea guluguja la maana... unaachaje kula kona? Mbaya zaidi ukute huko pm mmeshafika mbali hapo mmekutana kumalizia tuu..πŸ˜‚
Ndiyo maana mnatukimbia eeh, "kwani tulijiumba tuwe guluguja" mkuuπŸ˜œπŸ˜€ ni uumbaji tu tupendane kama tulivyo
 
Ishawai nitokea hali hii,kwa bahati mbaya yule mhusika anayependwa hakuamini
 

[emoji23][emoji23][emoji23] Mtu alini PM tukachat tuka fall in love siku ya kuonana Daaaaaa[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174] nlichoka mwili na roho sio kitu nilichokitarajia tukaachana hapo hapo
 

Mlimbwende yule, mbali na uzuri wake wa mwili, ana kila aina ya sifa njema na ni 99.99% wife material kabisa. We became very close friends na wasiri wakubwa...mpaka lilipotokea la kutokea. Hatukuwahi kuonana ila ungetuona ungedhani kuwa tumefahamiana kuanzia chekechea huko.

Huwa namuombea apate mume atakayemwelewa na kumpa ndoa ya amani na furaha...na bado naamini siku moja pengine nitapata bahati ya kumuona hata kama ni kwa sekunde moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…