Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Hilo Lina ukweli kiasi fulani lkni sio 100%Mi ndio maana kila siku nasema... hapa jf ukiona watu wanaitana baby baby, mara sweetie sijui nini na nin... ujue hao hawajawahi kuonana!! 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo Lina ukweli kiasi fulani lkni sio 100%Mi ndio maana kila siku nasema... hapa jf ukiona watu wanaitana baby baby, mara sweetie sijui nini na nin... ujue hao hawajawahi kuonana!! 😂😂
Siku ukikupata ndio utajua kama ni uchizi au si uchizi.Kumpenda usiyemjua ni aina fulani ya uchizi wanangu.
Ndiyo maana mnatukimbia eeh, "kwani tulijiumba tuwe guluguja" mkuu😜😀 ni uumbaji tu tupendane kama tulivyoKinachofanya watu wanajificha ni pale ambapo wewe kichwani una picha ya beyonce, unashangaa linatokea guluguja la maana... unaachaje kula kona? Mbaya zaidi ukute huko pm mmeshafika mbali hapo mmekutana kumalizia tuu..😂
Heeee!!! Nitoweke nimekifa jamaniiiiiiii. Nani huyo alokuwa anashinda kwenye profile angu jamaniiiiiiiiKuna dada mmoja anaitwa. Maserati alitowekaga humu kitambo sana. Kuna jamaa angu alikuwa anashindaga kwa profile yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Teh teh! Yule nilishasema hamna anayeweza muotea wala siwezi mtaja popote pale huyo mbona nimeshamtaja mara kibao tu!Finally
Nimemjua crush Wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh! Yule nilishasema hamna anayeweza muotea wala siwezi mtaja popote pale huyo mbona nimeshamtaja mara kibao tu!
Habari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ulitarajia awe vipi best umekuja na I'd Mpya waogopa nini 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Mtu alini PM tukachat tuka fall in love siku ya kuonana Daaaaaa[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174] nlichoka mwili na roho sio kitu nilichokitarajia tuk
Hahaha upo kumbe?Heeee!!! Nitoweke nimekifa jamaniiiiiiii. Nani huyo alokuwa anashinda kwenye profile angu jamaniiiiiiii
Huu ni upumbavu mwingine wa binadamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiona like yake tu, dadeq....
The thing is,..... ngoja nikae kimya!
Dah, mie siongezi neno bana tatizo tukiwa social mnatuchukuliaga poaHahaha ujue mimi dada yako kijana! Vile unaona nakuchekea humu kila siku ndiyo unanichukulia kama mtoto mwenzio eh!
Mtaje bhana...lohHuu ni upumbavu mwingine wa binadamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiona like yake tu, dadeq....
The thing is,..... ngoja nikae kimya!
😂😂😂😂Niache Chakorii!Mtaje bhana...loh