Mmmhh basi bhana hadi mnapeana ahadi sijajuwa location ilikuwa wapi ,ngoja niimbe v mistari vya 20%Ooh hapana gari tutatafuta wote tu [emoji3] tatizo haka kababe kelphin kepph kaliahidi kenyewe katanipa gari eti ana uwezo ye ni tajiri mwaka wa 5 huu kimya[emoji849]
Mkuu unaitwa kule PM na Carleen nishawawekea na viti na glass za maji.Carleen ingekuwa ngumu kuja direct tena kwa mtu ambae hanifahamu kama wewe. Niliendelea kufurahi kila mara nilipoona postszako humu JF, hata kuna kipindi uliwahi kupost kitanda kinauzwa kama sikosei ni 250k, sio siri nilitamani niwe mteja wako wa kwanza kabisa.
Pengine nimshukuru tu muanzisha uzi kwani hatimae amefanikisha lengo langu la kutamani siku moja upate japo nafasi ya kujua tu kuwa kuna mtu humfahamu hakufahamu ila anakupenda tu automatically.
Hakika we wish you all the best umpate tu na utualike kwenye harusi 😛😘Mmmhh basi bhana hadi mnapeana ahadi sijajuwa location ilikuwa wapi ,ngoja niimbe v mistari vya 20%
Najiweka pembeni naepusha msongamanoo, mola nijalieee nipate wangu namiee........!!
Hahahaha wewe dada comments zako huwa zinafurahisha sanaNiliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Una rohoo mbaya sana wewe[emoji28][emoji28]Hakika we wish you all the best umpate tu na utualike kwenye harusi [emoji14][emoji8]
Thank you recycle Bin. Kuna kitu nakipenda kutoka kwako.Aje na @Paula Paul na @Yna2
Yani huyu financial services mkuu hana upendo hata kidogo naona jamaa keshateka kila kitu.Una rohoo mbaya sana wewe[emoji28][emoji28]
Evelyn Salt come come, unaitwa hapa mimi kazi yangu kuwaita tu.Mi ukweli huwa nampenda sana Evelyn salt huyu Sister simjui Wala nini
Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app
Nilikua nampima tu nione kama kweli ananipenda😂😂Una rohoo mbaya sana wewe[emoji28][emoji28]
I love you and you know nilikua nakujaribu tu baada ya kuimba huo wimbo wa 20% wako huo😀Yani huyu financial services mkuu hana upendo hata kidogo naona jamaa keshateka kila kitu.
Usihame mgahawa yule mdada ataumia moyoHabari za wakati huu wakuu!!
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa jf kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa.
Au nasema uongo ndugu zangu?