Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 413
- 460
Nishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]
Kweli kabisa aise.Ila ndo hivyo..Ndio uhalisia huo. Tukisema kila mtu ataje hapa tutacheka sana.
Oooh nishakumbuka, usiache kunipenda lakiniNilikwambia kwenye uzi fulani ukasema tayari unae umpendae. Kama sijasahau uzi huo mdau alikuwa anaulizia vyakula vya kunenepesha
Thank you recycle Bin. Kuna kitu nakipenda kutoka kwako.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]....
Weee maskini kumbe nakuvuruga[emoji848]
Asante sana mpenzi [emoji3344][emoji3344]
Ila hisia ni kitu cha ajabu sanaaa
Hahahaaaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mi mwanaume kaka.
Whooosh'..!Carleen ingekuwa ngumu kuja direct tena kwa mtu ambae hanifahamu kama wewe. Niliendelea kufurahi kila mara nilipoona postszako humu JF, hata kuna kipindi uliwahi kupost kitanda kinauzwa kama sikosei ni 250k, sio siri nilitamani niwe mteja wako wa kwanza kabisa.
Pengine nimshukuru tu muanzisha uzi kwani hatimae amefanikisha lengo langu la kutamani siku moja upate japo nafasi ya kujua tu kuwa kuna mtu humfahamu hakufahamu ila anakupenda tu automatically.
Niliahidi sitosema humu ndani aise.Sasa kilichokushinda kumchana ni nini?
Ohooo...mpka nasisimkwa mwili aiseh..what a love!ohooo @recycle...au nikupe avatar yangu upige nayo picha..imekaaje hiyo...[emoji3059][emoji7] im in love with your avatar bila kusahau michango yako humu jukwaani na nadhani wengi wanashawishika zaidi na hili la uchangiaji mada humu ndani.
Kuna mwingine nampendea jina [emoji8][emoji8]
Ooohooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani huyu @financial services naomba mumuache
Mtaupasua moyo wangu jaman[emoji848][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Myamalize jamani nimewawekea viti na glass za maji kule sebuleni PM hamjakwenda tu kuongea.Ohooo...mpka nasisimkwa mwili aiseh..what a love!ohooo @recycle...au nikupe avatar yangu upige nayo picha..imekaaje hiyo...
Afu we nae mbona ulikuwa huniambii sasa
Kwani michango inakuja na picha gani [emoji3590]..
Atakuwa P nini?
Jamani I'm grateful mkuu 👏 hivi kwanini ulioa mapema aisee(joke)🙄 i love you too rafiki!financial services I just love this lady. Anaonekana anajielewa, she could be the choice ningekuwa sijaoa[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23]Maisha haya
Ebu kaa kwa kutulia mkuu, tena una mke huna hata huruma mzee baba.financial services I just love this lady. Anaonekana anajielewa, she could be the choice ningekuwa sijaoa[emoji23][emoji23][emoji23].
Umenikumbusha mbali, Miaka 14 iliyopita niliwahi kutangaza Radio one kipindi cha marafiki. Nikapata marafiki wengi, ila akatokea mrembo mmoja Vero.. nilimpenda, tukapendania kwenye simu , tunaongea usiku kucha.. tukaachania kwenye simu .. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] Maisha haya