Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Nipo napitia steps by steps kuona kama kuna kiumbe yoyote yuke kamquote huyu kivuruge wangu cariha cariha niandamane ila mpaka Hapa nilipifikia sijamuona yeyote yule mm binafsi namuita huyuu mdada namkubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuja mkuu, na una bahati yako pekee maana hajatag-iwa.
 
Ndiyo niliposema wanaume wengi wa Arusha ni wazuri wa sura nilimaanisha! Lakini hakuna mahali niliposema eti Mimi nikipenda mwanaume naangalia sura!

Tofautisha kati ya kumpa mtu sifa yake na kumtaka kimapenzi hapo ndiyo ulijichanganya! Halafu kumbe siku zote ulijuaga wewe ni mkubwa kwangu dogo!
You always try to vice little girl! We ni muroro mudogo! Hio body isikupe kibri wala be calm and sip some milk and cornflakes!
 
Ndiyo niliposema wanaume wengi wa Arusha ni wazuri wa sura nilimaanisha! Lakini hakuna mahali niliposema eti Mimi nikipenda mwanaume naangalia sura!

Tofautisha kati ya kumpa mtu sifa yake na kumtaka kimapenzi hapo ndiyo ulijichanganya! Halafu kumbe siku zote ulijuaga wewe ni mkubwa kwangu dogo!
🤪🤪🤪watu wanaangalia comments na kuona pengine labda ni vianafunzi vya chuo 😜kumbeee...ni mtu umejichagulia maisha ya kutotabirika..
 
Back
Top Bottom