suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua tu lazima utakuja kuharibuKupenda sio ishu, shida muonekano ndio huwa unakuja kusaliti....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua tu lazima utakuja kuharibuKupenda sio ishu, shida muonekano ndio huwa unakuja kusaliti....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Mkuu mfungukie tu, usife na tai shingoniUpendo ni kitu cha ajabu sana.
Kuna mtu humu nampenda hadi sijielewi basi tu navumilia
Wewe andika yeyote hata kujisaidia juu ya tundu la choomkuuKumpenda mtu kwa maneno au hadithi tamu au copy and paste duh kazi kweli kweli
Mimi introvent nimejificha hapa nyuma ya keybod najisomea koment na kucheka tu sijui mwaka gani nitaandika mada nipendwe.
[emoji23]Naona ndo knachonikuta saizi[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji856][emoji856] hayo mambo watu wanakuwaga kama matahira tu
Mm niliwahi mpenda mtu humu jf kwa sababu ya content zake tu na mwisho nikajaliwa kupata kijana nae lkn mwisho wa siku alisepa kama upepoHabari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!
Au nasema uongo ndugu zangu?
PoleeeMm niliwahi mpenda mtu humu jf kwa sababu ya content zake tu na mwisho nikajaliwa kupata kijana nae lkn mwisho wa siku alisepa kama upepo