Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Naona ndo knachonikuta saizi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumpenda mtu kwa maneno au hadithi tamu au copy and paste duh kazi kweli kweli

Mimi introvent nimejificha hapa nyuma ya keybod najisomea koment na kucheka tu sijui mwaka gani nitaandika mada nipendwe.
 
Kumpenda mtu kwa maneno au hadithi tamu au copy and paste duh kazi kweli kweli

Mimi introvent nimejificha hapa nyuma ya keybod najisomea koment na kucheka tu sijui mwaka gani nitaandika mada nipendwe.
Wewe andika yeyote hata kujisaidia juu ya tundu la choomkuu
 
Kuna mmoja et alinipenda kisa sijui nili comment kitu gani huko mahali,,ahh mapenzi Ni upofu wakati mwingine
 
Habari za wakati huu wakuu.

Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.

Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.

Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.

Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.

Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!

Au nasema uongo ndugu zangu?

Mm niliwahi mpenda mtu humu jf kwa sababu ya content zake tu na mwisho nikajaliwa kupata kijana nae lkn mwisho wa siku alisepa kama upepo
 
Na uzee huu bado hisia zipo tu jamani, mmoja nikiona LIKE yake najiwazia tu hapa. Bad thing is, sina la kufanya! Akifanya kubisha naweza kum cc [emoji23][emoji23]
 
Na uzee huu bado hisia zipo tu jamani, mmoja nikiona LIKE yake najiwazia tu hapa. Bad thing is, sina la kufanya! Akifanya kubisha naweza kum cc [emoji23][emoji23]
Mu-cc
 
Wakuu,

Kuna binti mmoja wa TikTok, ni mzuri sana.

Yani nikikutana na video au picture yake hisia zinanipanda hadi utosini.

Ni yule binti ambaye mwili wake ni kama nywila ya kufuli zangu za hisia

Imebidi hadi ni uninstall TikTok kwa ajili yake
 
Back
Top Bottom