Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

Roma ilikuwa zamani, sasa hivi hamna kitu, mpaka mashoga ni mapadre hakuna lolote la kujivunia kwenye hilo genge
Nitafia hukuhuku Roma mkuu,. Dini zote ni utapeli sikuizi so kuhama hama ni kujichosha tu
 
Yeah mie nlikua namanifest hadi dhehebu😃😃..Wazee wangu nawajua vizuri sana aisee ,. Makwazo mengine madogo madogo yanaweza kuepukika
Kila la heri
Tukutane hapa after 5 yrs tukijaaliwa uzima
 
Kiranga Scars Infropreneur min -me Mjuni Lwambo ulishawahi kumpoteza mweza kwasababu ya kutokuwa na dini?
Japo siyo mie uliye niuliza swali, ila sito wahi ruhusu dini iingilie suala au utaratibu wangu wowote.

If I love her and she loves mez basi lazima tuli jadili kwa kina.
Kama nili weza kwenda church kisa Maureen (rip), and we were still young.
why nishindwe ukubwani??
 
NDugu yangu wa karibu aliachana na bby mama wake kwasababu ya dini,walikataa hata kujibu barua yake ya posa kisa jamaa ni mkristo na hakutaka kubadili dini.

Mwafrika kujifanya mjuaji wa dini za waarabu nao nia moja ya upunguani.

Sahivi mtoto analelewa na fala mwinginw yani dini imeleta utengano..kmmk.
 
Acha ujinga mwanamke unampa sifa zote hiz,,, si ubadilishe din wew
 
Nilishapataga demu mkali sana wakibelgiji, demu ataki kusikia kabsa maswala ya Mungu iwe kanisani au msikitini tena anamind ukimletea hizo mada na anakiri wazi kuwa hatatamani wanae wajihusishe na izo mbanga. Nikaona hapa usikute nipo na shetani nikajaga kumpga chini japo haikuwa rahisi demu tulikuwa tunapendana sana.
 
Kama kkkt huyu nipe namba zake mkuu. Dini muhimu msije muita kafiri huyu. Lete sisi wa Kkkt tumchumbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…