amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
🤣🤣🤣🤣🤣 lita 2 zinanistosha kabisa.Unataka lita ngapi nikuletee asali toka tabora!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 lita 2 zinanistosha kabisa.Unataka lita ngapi nikuletee asali toka tabora!?
Dogo dogo hilo, lipo ndani ya uwezo wangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lita 2 zinanistosha kabisa.
Mbavu zangu mie.Dogo dogo hilo, lipo ndani ya uwezo wangu.
Pole sana. Tatizo la mtandao huenda itakuwa kweli maana kwa sasa malipo ya serikali, nasemea hapo ulipoenda kununua (TFS) huwa yanafanyika kwa njia ya control number.mmh ila mashelf muda wote huwa yamejaa asali sijawahi kuona pamepungua ila sijawahi kuuziwa vile vile
Wala huna haja ya kutoa cha pembeni. Nimeshakupa ushauri hapo juu na jina la hiyo Taasisi inayohusika. Fanya tu ufuatiliaji sasa. Utafanikiwa.halafu kweli 🙄🙄 inawezekana huwa wanataka cha pembeni, make haiingii akilini
Mimi nilinunua shs. 10,000/= kwa kilo moja, na nililipa pembeni kidogo kwa wakala wala hakukua na tatizo.Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).
Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni ishu....kila siku network ni shida??? majibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini??? nakereka sana kufunga safari ndefu halafu nafika majibu ndio hayo, hivi wameshindwa hata kuuza kwa risiti??? Hadi nahisi labda huwa hawauzi je kuna mtu alishawahi kupata huduma pale???
Upo sahihi, tatizo vijana wengi hawajui kuwa siku hazigandiupo addicted sana na siasa, my furendi punguza kidogo uinjoi haya maisha kwa namna nyingine....
Too much siasa ni kujipa stress tu, huku tunashupaza shiiiingo wao huko ccm na chadema wanakutana mjengoni na mabig smile jioni wanaenda kula kuku pamoja, kazi kwetu mashabiki maandaziUpo sahihi, tatizo vijana wengi hawajui kuwa siku hazigandi
Wale dada wawili wanakuandikia ukalipe kwa wakala aliye nje na ukishalipa hiyo asali unaichukua mwenyewe kwenye shelfu, hapo kitu kidogo mtapeana wapi!Kwa nini hujauziwa na Asali ipo? Tatizo mpo negative kwa kila kitu cha Serikali. System ya malipo ya serikali inajulikana, hakuna mahali watu wanapokea cash, na inaweza kutokea umefika system ipo chini, katika nchi hii hiyo kutokea ni kawaida, hata mabenki kuna wakati system inakuwa down. Mtumishi wa aliyepo hapo hawezi kupokea cash under any circumstances, kwa sababu hata kama atafanya hivyo kukusaidia ili kukupunguzia usumbufu in case system ipo chini utarudi hapa kusema pale hela zetu zinapigwa maana wanapokea cash! No one wants that! Mifumo ni ya Serikali na pesa ni za Serikali, mfumo ukigoma utaambiwa tu umegoma, hakuna namna, sababu no one wants to mess up with government money.
Suala la kitu kiddogo napinga, anayeuza namjua ni very decent lady. Kama ilitokea hukuuziwa na Asali ipo itakuwa ni sababu nyingine.
Leo nimeshangaa huyo Behaviourist hakuweka clip ya Samia ya kula kwa urefu wa kamba yake.... Usemavyo ni upuuzi kushabikia siasa wakati unawanafaisha wengine. Hapa JF watu wengi na siasa uchwara kiasi wengine BP inafika 260/160 ati wameisema chademaToo much siasa ni kujipa stress tu, huku tunashupaza shiiiingo wao huko ccm na chadema wanakutana mjengoni na mabig smile jioni wanaenda kula kuku pamoja, kazi kwetu mashabiki maandazi
Serekali haina mkono wa kuchakachua vitu ila wafanyakazi ndo wanachakachua'It's all about quality and assurance.
Si unajua wengine wanakuuzia sukari guru wanasema asali.
Ni kweli asali ya Pale (TFS) ni ya kiwango cha juu na huwa inapelekwa kufanyiwa testing maabara ya Germany. Jamaa wako vizuri ndo maana huwa asali yao haikai.Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).
Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni ishu....kila siku network ni shida??? majibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini??? nakereka sana kufunga safari ndefu halafu nafika majibu ndio hayo, hivi wameshindwa hata kuuza kwa risiti??? Hadi nahisi labda huwa hawauzi je kuna mtu alishawahi kupata huduma pale???
hii ndio ile natural honey watu wanaisemaga eti inasaidia yale mambo yetu 😁 #vijanawahovyoNi kweli asali ya Pale (TFS) ni ya kiwango cha juu na huwa inapelekwa kufanyiwa testing maabara ya Germany. Jamaa wako vizuri ndo maana huwa asali yao haikai.
Me nikiikosa huwa nanunua kwa hawa jamaa wa AGT Natural Honey, asali yao wananunua hukohuko TFS na wanaifanyia branding ya kutosha, mara ya kwanza nilipewa niliposafiri na ndege za ATCL, kwakweli ukiikosa ya TFS chukua tu ya AGT nao ni wa uhakika.
View attachment 2201072
sio cheap bei kawaida lita 1 tsh 10000 ila ni asali nzuri
Alaaa!! Si tushakubaliana mie nafanya UANAUME nawe ufanye UANAMKE jamaniMbavu zangu mie.
Ile ndinga hatujamalizana nalo ujue
Wataalam wanaweza kusaidia kujua kama asali inasaidia hayo mambo au lahii ndio ile natural honey watu wanaisemaga eti inasaidia yale mambo yetu 😁 #vijanawahovyo
Jamani kwani lazima niwe nimenunua ndio nijue ladha, alinunua mtu akanimiminia ndio nikaijua ubora wake, hapo vipi???Hujawahi kufanikiwa kuinunua, lakini hapa unaieleza nzengo kwamba ni "asali nzuri"!
Kivipi sasa mwalimu, by hearsay? ama hili ni tangazo la kimkakati?
Heshima kwako... the double 'Agent'. Wasalimie huko Dasalamu.
-Kaveli-
Ya Nyuki wadogo au wakubwa?sio cheap bei kawaida lita 1 tsh 10000 ila ni asali nzuri