TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
😂🤣👍🏾serikali yenyewe inapata uvivu kujitafutia pesa yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣👍🏾serikali yenyewe inapata uvivu kujitafutia pesa yani
kazi kusubiri tozo 😂😂😂🤣👍🏾
Nikupatie namba ya rafiki yangu?Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).
Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni ishu, kila siku network ni shida?
Majibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini?
Nakereka sana kufunga safari ndefu halafu nafika majibu ndio hayo, hivi wameshindwa hata kuuza kwa risiti? Hadi nahisi labda huwa hawauzi je kuna mtu alishawahi kupata huduma pale?
Eti serikali yenyewe inapata uvivu kujitafutia pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni duka linamilikiwa na serikali, hata leo halifunguliwi sikukuu.
serikali yenyewe inapata uvivu kujitafutia pesa yani
Je,Uganda na Rwanda utawaweka kundi gani?Sisi watz ndio wananchi wapumbavu kuliko woote duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Too much siasa ni kujipa stress tu, huku tunashupaza shiiiingo wao huko ccm na chadema wanakutana mjengoni na mabig smile jioni wanaenda kula kuku pamoja, kazi kwetu mashabiki maandazi
Nimesema ni waoumbavu kuliko woote duniani, hao waganda Watakuwa wanatufata huko, ila watz ndio chendu zaidi.Je,Uganda na Rwanda utawaweka kundi gani?
Kwahiyo sisi na waganda unaona bora waganda ambao Wana Rais mmoja miaka nenda miaka rudi.Nimesema ni waoumbavu kuliko woote duniani, hao waganda Watakuwa wanatufata huko, ila watz ndio chendu zaidi.
Sisi tunaobadilisha raisi kila uchwao na wanatubimbirisa hovyo ndio tuwe na afadhali!?Kwahiyo sisi na waganda unaona bora waganda ambao Wana Rais mmoja miaka nenda miaka rudi.
Humu tunaongelea asaliiiii! Siyo siasa.upo addicted sana na siasa, my furendi punguza kidogo uinjoi haya maisha kwa namna nyingine....
Hii asali au uchafu mkuu??Mkuu Kama unataka asali mbichi njoo pmView attachment 2201654
Nimejikuta nacheka kwa sauti katika daladalaEti serikali yenyewe inapata uvivu kujitafutia pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wananchi wamemegwa wako in piecesKila kitu Serikalini kinaenda kwa mtindo huo lakini hapa namba moja wa kulaumiwa ni wananchi wenye nchi ambao badala ya kutimiza wajibu wao wa kuiwajibisha serikali huwa wapo wapo tu na kushangaa shangaa kama mazombi yaliyofufuka kutoka kuzimu.
Niliacha kutumia asali baada ya tetesi kuwa wahuni wanachanganya na oil.Hii ni asali asili kabisa mkuu, nikuletee lita ngapi
Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).
Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni ishu, kila siku network ni shida?
Majibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini?
Nakereka sana kufunga safari ndefu halafu nafika majibu ndio hayo, hivi wameshindwa hata kuuza kwa risiti? Hadi nahisi labda huwa hawauzi je kuna mtu alishawahi kupata huduma pale?
Huenda wanauza "Asali" Ile nyingine aiseeeeeMajibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini?
Mkuu wala usipate shida,ukienda pale goms kituoni kuna duka moja la asali,asali yao ni nzuri sana haina longolongo ya kuchakachuliwa,niliona wana kibali cha hao maliasili pia nadhani watakuwa wanawafahamu,nenda kanunue pale mkuu!ile ya pale ni nzuri haijachakachuliwa ndio maana naifungia safari
Goms upande gani ukiwa unatokea mjini?Mkuu wala usipate shida,ukienda pale goms kituoni kuna duka moja la asali,asali yao ni nzuri sana haina longolongo ya kuchakachuliwa,niliona wana kibali cha hao maliasili pia nadhani watakuwa wanawafahamu,nenda kanunue pale mkuu!