Kwa nini hujauziwa na Asali ipo? Tatizo mpo negative kwa kila kitu cha Serikali. System ya malipo ya serikali inajulikana, hakuna mahali watu wanapokea cash, na inaweza kutokea umefika system ipo chini, katika nchi hii hiyo kutokea ni kawaida, hata mabenki kuna wakati system inakuwa down. Mtumishi wa aliyepo hapo hawezi kupokea cash under any circumstances, kwa sababu hata kama atafanya hivyo kukusaidia ili kukupunguzia usumbufu in case system ipo chini utarudi hapa kusema pale hela zetu zinapigwa maana wanapokea cash! No one wants that! Mifumo ni ya Serikali na pesa ni za Serikali, mfumo ukigoma utaambiwa tu umegoma, hakuna namna, sababu no one wants to mess up with government money.
Suala la kitu kiddogo napinga, anayeuza namjua ni very decent lady. Kama ilitokea hukuuziwa na Asali ipo itakuwa ni sababu nyingine.